Tatizo la pikipiki kuchelewa kuwaka

Tatizo la pikipiki kuchelewa kuwaka

BMopia

New Member
Joined
Jan 1, 2019
Posts
4
Reaction score
1
Pikipiki aina ya Dayun. Betri mpya plug mpya. Lakini inachelewa kuwaka sometime napiga kick ndio I wake, tatizo linaweza kusababishwa na Nini wakuu?
 
Ukitembea mlio ukoje?? Huenda pia we sio mzoefu hapo tuache hilo?? Na ni wakati gani inasumbua kuwasha asubuh tu?? Au hata ikishatembea kidogo ikazimwa? Kama ni asubuh tu ...80% ya tatizo lako ni itakuwa air/ fuel ratio haipp sahihi mixture is too lean
 
Nakubaliana na eminetia post #4.
Muone fundi atakupa muongozo.

Japo compression ikiwa chini hata kick ingesumbua pia.

shida iko kwenye mzunguko wa umeme

Kutakuwa na loose kwenye terminals za battery au acid imeisha nguvu.

Au
Sparks kutoka kwenye ignition coil hazitoshi


Carbons nyingi kwenye plug
 
Back
Top Bottom