secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Sidhani kama Kila tukio la Kihistoria lilisababishwa (causes) na mambo sita na kuendelea au lilisababisa (effects ) mambo sita na kuendelea.
Katika somo la history hapa nchini kumekuwa na tabia kutaka kuwaaminisha wanafunzi kuwa kila tukio la Kihistoria limesababishwa na mambo mengi sana.
Ni huu mfumo ndio unaofanya waandishi wa vitabu vya historia (vya shule) kuweka hoja nyingi ambazo ukizisoma unaona kabisa kuwa ni story ziliungwa ungwa ili kutafuta match.
Mfumo huu umewafanya wanafunzi waanze kujitengezea formula yao kabisa, kwamba swali linalotaka sababu likiulizwa lazima kuwe na points kama Land alienation, taxation, forced labor n.k.
........