M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 Mar 25, 2023 #1 Sakho asipoangalia ataozea kwenye benchi la simba. Anapenda sana kucheza na jukwaa kwa hiyo mara nyingi hupoteza mpira akiwa kwenye harakati zake za kucheza na jukwaa!!! Uwezo wake wa kupaka rangi mpira ni mdogo.
Sakho asipoangalia ataozea kwenye benchi la simba. Anapenda sana kucheza na jukwaa kwa hiyo mara nyingi hupoteza mpira akiwa kwenye harakati zake za kucheza na jukwaa!!! Uwezo wake wa kupaka rangi mpira ni mdogo.
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 Mar 25, 2023 #2 Naskia kaifungua Senagal goli la 3 Jana wakiwa wameshindwa goli5.
Makuku Rey JF-Expert Member Joined Dec 31, 2013 Posts 3,497 Reaction score 3,823 Mar 25, 2023 #3 Mr kenice said: Naskia kaifungua Senagal goli la 3 Jana wakiwa wameshindwa goli5. Click to expand... πππ
Mr kenice said: Naskia kaifungua Senagal goli la 3 Jana wakiwa wameshindwa goli5. Click to expand... πππ