The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
- Thread starter
- #21
Aisee Tanzania ilivyo kubwa hivi eti Raisi anajitapa ameamua kukaa kimya mhii inasikitisha.Kuongoza nchi baba sio sawa na kucheza dance,au kucheza mdundiko ukitaka kujua kwamba huyu mama SAMIA sio serious angalia wanaoteuliwa utapata majibu wala huitaji kucholewa michoro ili uelewe.tazama wanaoitwa wakuu wa mikoa,angalia mawaziri ni ishara tosha kwamba this person is totally not serious ndio maana nchi zenye wanajeshi wenye akili timamu kama Burkinafaso,Niger ,Mali na Central Africa wameamua kuwafurusha mbali viongozi wa kisiasa wapumbavu,wajinga na wasiojielewa. nchi ya Tanzania inahitaji mtu mwenye kuijua nchi hii vzr,huyu mama anadhihirisha kabisa kwamba ni mgeni kabisa ktk kuifahamu nchi hii ndio maana mambo yanaenda hovyo hovyo kabisa na wala hajali na wakati mwingine anasema bila hata AIBU eti nimeamua kukaa kimya anadhani ni sifa Hv ukiijua hii nchi unaweza kukaa kimya kweli kwa aina ya mawaziri,na hawa wakuu wa mikoa na wilaya tulionao.Very poor president.Angalia bei ya mafuta inavyotesa watanzania,watu wanaficha mafuta na wanafanya watakavyo uchumi unayumba, benki kuu haina hata dola Rais amekaa kimya eti nayo ni sifa,ukilala ukiamka unajiona ww unastahili kuendelea kuongoza nchi hii kweli.RAIS SAMIA ANAPASWA KUJITAFAKARI KAMA KWELI NCHII HII INAMTOSHA.
Raisi aliyeko serious hawezi kukaa kimya kwanya yanayoendelea nchini