Tatizo la serikali hii ya Awamu ya Sita si wateule bali ni Mteuzi na Mwapishaji

Aisee Tanzania ilivyo kubwa hivi eti Raisi anajitapa ameamua kukaa kimya mhii inasikitisha.

Raisi aliyeko serious hawezi kukaa kimya kwanya yanayoendelea nchini
 
Mnajidanganya bure.
Tatizo Kuu kabisa lililopo Tz ni kwamba "MELI TULIYONAYO NI MBOVU NA IMETOBOKA", kwa hiyo hata tukibadilisha Manahodha mara milioni wala haitasaidia kitu, ni lazima itazama tu. Na kwa bahati mbaya zaidi, hata Manahodha wenyewe wanaobadilishana kushika usukani nao pia ni wabovu, yaani Watanzania kama vile "tuna nyota ya bundi"
 
Yaani unategemea jipya kwa mtu ambaye ni mvivu?hivi hata mda wa kupitia mafaili anao?haki za binadamu ndo zimetufikisha hapa,kiukweli kuna kazi sisi ke sio za kwetu tena ukizingatia watu wa jamii yetu kiasili ni wavivu,sasa pata picha hapo
Usitegemee jipya
Mamiloo sio kwamba nakuonea gere ila wewe ni mvivu,hushughilishi ubongo wako,kwako hii nafasi unaiona kama sehemu ya kula bata tu yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…