Kama ukitaka kusema ukweli kuhusu Pablo utasema hivi: Mechi ya Ruvu vs Simba wachezaji walicheza kivyao ili kumshawishi Pablo (kocha mgeni) wapate namba wakashinda 1-3, hivyo haikuwa na uhusiano kabisa na mafunzo ya Pablo. Mechi ya Geita vs Simba mafunzo ya pablo yalianza kutumika na kusababisha Simba kushindiwa na mwamuzi goli 1-2, mechi ya Simba vs Red Arrows Dar es Salaam mafunzo ya Pablo yalianza kukolea kwa wachezaji wake lakini simba ilishindiwa magoli 3 na maji uwanjani na mwamuzi, mechi ya Red Arrows na Simba Lusaka mafunzo na mbinu za pablo zilishika kasi kabisa lakini wote mliona simba ilitandikwa 1-2. Sasa mechi ya Simba vs Yanga mafuzo ya Pablo yamekolea zaidi lakini sio rahisi sana kujua kama yatafanya kazi kwenye mechi hii kwakuwa wachezaji kwenye mechi hii wana tabia ya kujiongeza/kujiless wenyewe hata bila kocha.