Tatizo la Simba ya sasa ni kocha mzuri au wachezaji wazuri?

Tatizo la Simba ya sasa ni kocha mzuri au wachezaji wazuri?

Amini maneno yangu, kocha Pablo atatimuliwa baada ya mechi ya Simba na Yanga.
 
Kanoute kanifanya nimsahau lwanga kwa muda
 
Yanga mtaacha lini kushiriki kombe la katibu kata?

Tuanzie hapa.
Inashangaza sana wanazi wa simba kuficha aibu ya kufurushwa mashindano makubwa ya club bingwa Africa kwa kutumia mashindano madogo sana ya shirikisho. Hata mo dewji mwenyewe roho yake anasema bado inamuuma hadi sasa kutokana na kadhia na aibu ile lakini mazuzu kama wewe huioni haibu hii unajivunia unashiriki wengine hawashiriki. Hata kwenye hayo mashindano madogo size ya Biashara united Na Azam, simba pia ameingia hatua ya makundi kwa tabu sana ya kufungwa ugenini Na red arrows pamoja Na kuingia hasara kubwa ya kumleta Pablo (galasa). Ili kuusaidia mpira wetu usonge mbele tuache ushabiki usiokuwa na taifa kwa timu na taifa pia.
 
Jumamosi wakiwa wanakufilimba urudi na uzi wako huu.
 
Dah kwa kweli Manara anastahili kujengewa sanamu pale posta, ficha uzuzu wako
Inashangaza sana wanazi wa simba kuficha aibu ya kufurushwa mashindano makubwa ya club bingwa Africa kwa kutumia mashindano madogo sana ya shirikisho. Hata mo dewji mwenyewe roho take bado inamuuma hadi sasa lakini mazuzu kama wewe huioni haibu hii. Hata kwenye hayo mashindano madogo size ya Biashara united Na Azam simba pia ameingia hatua ya makundi kwa tabu sana ya kufungwa ugenini Na red arrows pamoja Na kuingia hasara kubwa ya kumleta Pablo (galasa)
 
Kama ukitaka kusema ukweli kuhusu Pablo utasema hivi: Mechi ya Ruvu vs Simba wachezaji walicheza kivyao ili kumshawishi Pablo (kocha mgeni) wapate namba wakashinda 1-3, hivyo haikuwa na uhusiano kabisa na mafunzo ya Pablo. Mechi ya Geita vs Simba mafunzo ya pablo yalianza kutumika na kusababisha Simba kushindiwa na mwamuzi goli 1-2, mechi ya Simba vs Red Arrows Dar es Salaam mafunzo ya Pablo yalianza kukolea kwa wachezaji wake lakini simba ilishindiwa magoli 3 na maji uwanjani na mwamuzi, mechi ya Red Arrows na Simba Lusaka mafunzo na mbinu za pablo zilishika kasi kabisa lakini wote mliona simba ilitandikwa 1-2. Sasa mechi ya Simba vs Yanga mafuzo ya Pablo yamekolea zaidi lakini sio rahisi sana kujua kama yatafanya kazi kwenye mechi hii kwakuwa wachezaji kwenye mechi hii wana tabia ya kujiongeza/kujiless wenyewe hata bila kocha.
 
Pablo sio kocha, mtaona wenyewe. Gomez ni Bora kuliko Pablo. Tatizo ni wachezaji hakuwa Gomez
 
Haya mliyasema msimu uliopita na matokeo mliyaona.. kuweni wapole hao mnaowaita mababu ndo wanaoipa Simba heshima mwisho wa siku
Haya toa takwimu ya hawa wazee wako msimu huu, shida haikuwa Gomez,
 
Back
Top Bottom