Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa kama hali ugoro basi anakunywa gongo ya mavi.Paragraph ya pili andiko lako ndilo limebeba maudhui ya uzi na kadri nilivyosoma inaonekana una ufinyu wa kufikiri, siyo bure. Yaani Simba iwe sawa na Barcelona, Madrid nk ni ufinyu, kwani siyo kwa Tanzania tu bali kwa bara zima la Afrika kuna team unaweza kufananisha na Barcelona nk kwa kila nyanja yaani viwango vya ubora, utajiri nk?
Ungetafuta team zingine za bara la Afrika kisha ungefanya hiyo comparison
Umempiga na kitu kizito kwa headKwahiyo na hao kina Aucho, Bangala na Mayele ni level za kina Mzamiru Yasini kwani wangekuwa na vipaji vya hali ya juu wangeonekana na hao mawakala wa West Afrika si ndiyo?
Simba ndivyo walivyo, wako kama mazombie, wanaaminishwa without reasoning. Waliaminishwa kuwa Banda ni kama miquissone na kanoute ni ka Chama kabisa kabisa na kuzidi wakashangilia kama mazuzu. Wakaaminishwa kuwa Gomez ni zaidi ya Sven na Ausseum yakashangalia kama mazwazwa, wakaaminishwa kuwa billion 20 Iko kwenye account ya Simba yakagalagala kwa Raha kama mabumbwinya kumbe hakuna kitu, wakaambiwa mchakato wa mabadiliko ya Simba uko safi yakakenua kama matoinyo, Sasa ni zamu ya kocha wa real Madrid ni kiboko thana yameshaanza kuchonga.Huyo jamaa kama hali ugoro basi anakunywa gongo ya mavi.
Nachelea kusema anatumia bange maana bange haimfanyi mtu kuwa zwazwa kama mleta siredi.
Kagere kafunga baada ya timu pinzani kuwa pungufu, hiyo factor utaitibu kwa namna gani? Mayele amefunga timu pinzani zikiwa timamu, Kagere ni timu ilipewa red card mchezaji wao nguli.Mayele unamuona ana kipaji wakati kacheza dk1347 kafunga maoli 2 wakati kagere dk 332 kafunga magoli 2,ushabiki ni sawa na utaahira
Kwani timu zikitimia hazifungani?Kagere kafunga baada ya timu pinzani kuwa pungufu, hiyo factor utaitibu kwa namna gani? Mayele amefunga timu pinzani zikiwa timamu, Kagere ni timu ilipewa red card mchezaji wao nguli.
Nawashangaa sana mnao poteza mda wenu kubishana na mtu ambaye dhahiri anaonekana ana ugonjwa wa akili ..Kwani timu zikitimia hazifungani?
Uko tayari kuliwa kiboga ukitetea upuuzi.Nawashangaa sana mnao poteza mda wenu kubishana na mtu ambaye dhahiri anaonekana ana ugonjwa wa akili ..
Jaribu kutumia kauli nzuri kijana hii ni JF sio kilabu cha pombe, alafu hao hao wakina bocco ndio waliowabeba nyie kimataifa mkakanyagwa nje ndani ..Uko tayari kuliwa kiboga ukitetea upuuzi.
Unashindwa kuona mbinu za kukwepa kuweka 20b kwenye account. Mazuzu kama wewe hamuoni. Hivi hata ukimleta Simba kocha kama Guardiola ndiyo atamfundisha Bocco kufunga na onyango kuzuia Simba isifungwe? Huna akili wewe.
Yanga kakanyagwa 2 lakini Simba kakanyagwa 3 tena kitandani kwao, timu ipi ni dhaifu? 2 au 3?Jaribu kutumia kauli nzuri kijana hii ni JF sio kilabu cha pombe, alafu hao hao wakina bocco ndio waliowabeba nyie kimataifa mkakanyagwa nje ndani ..
Weka akiba ya maneno, higadhi mchango wako huu tutakuja kuufanyia marejeo soon"Sioni namna Pablo kocha mgeni Simba atakavyoweza kupata matokeo mazuri kwa wachezaji waliopo Simba. Kocha ni wa kawaida na wachezaji ni wa kawaida pia". Lakini kazi ya kuponya vipofu si alifanya Yesu peke yake, sasa kama we kipofu unataka nani akuponye.Nenda kwa Mwakasege wewe uombewe haya mambo yanatibika mbona.Eeh simba ina wachezaji wa kawaida,kwani we ulitaka tusajili mizimu labda au misukule ndo ujue bado tunashiriki mashindano ya kimataifa? Anyway,nasisitiza fika kwa Mwakasege au mchungaji aliye karibu, huu upofu wako bado upo katika hatua za mwanzo na maombi yatakuponya.Nakuomba ufanye hivyo tafadhari
Mlifunga hata goli la offside kwenye mechi zote mbili ?? ..Yanga kakanyagwa 2 lakini Simba kakanyagwa 3 tena kitandani kwao, timu ipi ni dhaifu? 2 au 3?
Sioni namna Pablo kocha mgeni Simba atakavyoweza kupata matokeo mazuri kwa wachezaji waliopo Simba. Kocha ni wa kawaida na wachezaji ni wa kawaida pia.
Pablo angekuwa kocha mzuri sana angeshanyakuliwaa na timu za Barcelona, Man U, au Tottenham zilizokuwa zinatafuta makocha wazuri. Ni kocha wa kawaida sawa na makocha wengine wa kibongo bongo ambae anahitaji kupata wachezaji wazuri ili apate matokeo mazuri.
Cedric kaze alikuwa Barcelona lakini Yanga alikuwa hapati matokeo kutokana na aina ya wachezaji aliowakuta Yanga wakati ule.
Wachezaji wa Simba hawana vipaji vikubwa sana kuwazidi wengine, wanatumia bahati zaidi, janjajanja, nguvu na mbinu za nje ya uwanja kupata matokeo kuliko ufundi. Wachezaji aina ya Chama, Mayele, Aucho, Bangala, Fei Toto na Dube hawana Sasa hivi.
Kagere, Wawa, Bocco, nyoni, Ajibu, kapombe, Mugalu, muzamiru, mkude, Kibu wote ni WA kuanikizaanikiza juani ili kupata matokeo. Ni wachezaji sawa na wachezaji wa timu nyingine kwenye ligi.
Waandishi na mashabiki wa Simba huu ndio wakati wenu wa kuweka akiba ya maneno kuhusu Pablo na Simba.
Wachezaji kama Akina Ramos na Karim Benema wapo Simba? Hivi Leo hii Rais Marekani Biden tu tumpe urais wa Tanzania na afanye kazi na bunge la mh. Ndugai, Musukuma, kibajaji, na Baraza la mawaziri hili na wakuu wa mikoa na Wilaya hawa, Tanzania itakuwa kama Marekani?Mimi ni mwana Simba ila naamini maneno usemayo ni sawa kabisa.
Tufike mahala sie washabiki tuwe wakweli tuache kujidanganya kirahisi rahisi.
Viongozi walichemsha walitakiwa kununua wachezaji wa viwango
Tunza hii post yako utairejea muda mfupi ujao, nitakukumbusha inshallah,"Sioni namna Pablo kocha mgeni Simba atakavyoweza kupata matokeo mazuri kwa wachezaji waliopo Simba. Kocha ni wa kawaida na wachezaji ni wa kawaida pia". Lakini kazi ya kuponya vipofu si alifanya Yesu peke yake, sasa kama we kipofu unataka nani akuponye.Nenda kwa Mwakasege wewe uombewe haya mambo yanatibika mbona.Eeh simba ina wachezaji wa kawaida,kwani we ulitaka tusajili mizimu labda au misukule ndo ujue bado tunashiriki mashindano ya kimataifa? Anyway,nasisitiza fika kwa Mwakasege au mchungaji aliye karibu, huu upofu wako bado upo katika hatua za mwanzo na maombi yatakuponya.Nakuomba ufanye hivyo tafadhari