Tatizo la Tanzania sio Katiba Mpya bali utii wa Katiba iliyopo

Tatizo la Tanzania sio Katiba Mpya bali utii wa Katiba iliyopo

Kilatini nitaiita hili bandiko kama “consesus ad idem” yani “meeting of minds”
Kwa hakika mtoa mada namimi tumefikia kiwango sawa cha ufahamu!

Toka majuzi i presented the same! Katiba mpya ni kwa ajili ya kuwaingiza akina mbowe ikulu
 
Huwezi kusema wanaodai katiba mpya kwanza wawaeleweshe Watanzania wengi kuhusu Katiba mpya. Utawaelewashaje waliokunywa maji ya bendera ya maccm pamoja na kuwa wamepigwa na maisha sana tu umuhimu mkubwa wa Katiba mpya wakati maccm wanadai sasa siyo wakati muafaka ba wamekuwa wakitumia uhuni na janja janja kwa miaka 30 sasa ya mfumo wa vyama vingi kuikwepa katiba mpya!? 😳

Unajua ni % ngapi ya watanzania wanaijua katiba iliyopo?

Ukishafahamu hilo basi utajua kwanini hii issue ya katiba watu wanaona ni kupoteza muda.

Nimetoa maoni yangu hapo. Tunaodai au wanaodai katiba mpya inatakiwa wahakikishe % kubwa ya jamii inaufahamu wa kutosha wa katiba iliyopo. Kwa maana ya mapungufu na hasara za hayo mapungufu. Wakishafanikiwa hilo, ndipo wawahamasishe hao watu wawaunge mkono kwenye kudai katiba mpya.

Kinachofelisha katiba mpya ni uelewa mdogo wa wananchi kuhusu umuhimu wa katiba kwenye uhalisia wa maisha yao
 
Bila katiba mpya watanzania watumwa wa ccm.Tunastahili zaidi ya utumwa.
 
Huwezi kusema wanaodai katiba mpya kwanza wawaeleweshe Watanzania wengi kuhusu Katiba mpya. Utawaelewashaje waliokunywa maji ya bendera ya maccm pamoja na kuwa wamepigwa na maisha sana tu umuhimu mkubwa wa Katiba mpya wakati maccm wanadai sasa siyo wakati muafaka ba wamekuwa wakitumia uhuni na janja janja kwa miaka 30 sasa ya mfumo wa vyama vingi kuikwepa katiba mpya!? [emoji15]
Amini nakuambia, ccm hawatoi katiba mpya bila nguvu ya umma. Na ili umma uunge mkono madai hayo, lazima ufahamu umihimu wa hicho wanachokidai. Huwezi kuwaimbisha watu wimbo ambao hawaujui.

Kama unadhani nadanganya, hao wanaodai katiba mpya, wataishi magereza kama sio kujeruhiwa.

Mfumo wa kiutawala wa nchi zetu sio rafiki kwasababu raia hawajui haki zao na namna ya kuzidai
 
Ingekuwa hivyo basi hata Tume ya Warioba isingeundwa na Kikwete. Ugumu wa maisha ambao unazidi kupamba moto utawatia akili kichwani hata wale ambao wanaimba maccm ni nambari one.
Bei ya mafuta ni kubwa Tanzania kuliko nchi za jiran hii itasababisha inflation ya kutisha na Serikali haiwezi kuficha UOZO wa kushindwa kuongoza nchi kwa kupandisha bei mwaka hadi mwaka. Hivyo itabidi wapunguze Wafanyakazi wengi Serikalini hivyo kuongeza wasaga lami mtaani na hivyo kupunguza makusanyo ya kodi. Dhuluma huwa haidumu milele wataua Watanzania wangapi!?

Amini nakuambia, ccm hawatoi katiba mpya bila nguvu ya umma. Na ili umma uunge mkono madai hayo, lazima ufahamu umihimu wa hicho wanachokidai. Huwezi kuwaimbisha watu wimbo ambao hawaujui.

Kama unadhani nadanganya, hao wanaodai katiba mpya, wataishi magereza kama sio kujeruhiwa.

Mfumo wa kiutawala wa nchi zetu sio rafiki kwasababu raia hawajui haki zao na namna ya kuzidai
 
Uelewa wangu na uzoefu wangu ni kuwaTanzania haihitaji katiba mpya bali inahitaji uingozi unaozingatia katiba iliyopo.

Hospitali na vituo vya afya vimejengwa tukiwa na katiba ya zamani,

Madarasa yamejengwa tukiwa na katiba ile ile.

Tunajenga SGR ,NYERERE DAM n.k kwa katiba ileile.

Tumeingia uchumi wa kati na katiba ya 77.

Hakuna linaloshindikana kwa katiba iliyopo na kama lipo hawa mamluki wanaodai katiba mpya waainishe beyond reasonable doubts kwamba hayatawezekana kwa katiba iliyopo, otherwise wapinzani wanataka fashion tu eti Tanzania iwe na katiba mpya.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Msiendele kumpotosha mama. Atanyolewa na kiwembe cha Mdude.
 
Dhima kuu ya Katiba sio ujenzi wa madaraja na SGR.

Kazi ya katiba bora ni kuimarisha misingi ya utawala wenye nidhamu, utawala wenye mamlaka yanayodhibitika (controllable powers), mgawanyo sahihi wa mamlaka ya mihimili ya dola pamoja na demokrasia madhubuti.

Katiba ya sasa imekaa kihuni sana — Ni kama vile ilitungwa na Nyerere akiwa kwenye Geto lake la Butiama.

Madaraka yote yapo kwa Rais kana kwamba hii nchi ni mali ya watu fulani.HAPANA.

Ndio maana ufisadi haukomi kwa sababu Bunge na Mahakama zimedumazwa.

Kukiwa na Bunge au Mahakama imara, hautaona janja janja za hawa wahuni wanaoichezea nchi hovyo! Kila mtu anawajibika na kuwajibishwa ikibidi.

Udikteta udikteta tu, wengine niliona wanakimbia na maboksi ya kura.

Ukiuliza unaambiwa "amri kutoka juu" (sijui hata ni juu ya wapi?)

Kila mahali ubabaishaji.

Katiba mpya itaondoa hao mamwinyi uchwara.
 
Hawa wanaohitaji katiba mpya hata hawajui nini kipo kwenye hii katiba iliyopo!
 
Msiendele kumpotosha mama. Atanyolewa na kiwembe cha Mdude.
Rais ni rais mzee, huyo mdude jpm alimtuliza miaka mitatu, muhimu ni kuomba vitu kwa ustaarabu, ila mmeanza kumkosea heshima mother, mnataka kumtengeneza jpm mwingine, mtafanikiwa
 
Rais ni rais mzee, huyo mdude jpm alimtuliza miaka mitatu, muhimu ni kuomba vitu kwa ustaarabu, ila mmeanza kumkosea heshima mother, mnataka kumtengeneza jpm mwingine, mtafanikiwa
Huyo siyo mama, ni mtumishi wa serikali hajaombwa kuwatumikia wananchi.

Kama anataka staha aachie kazi ya utumishi wa uma
 
mmeanza kumkosea heshima mother, mnataka kumtengeneza jpm mwingine, mtafanikiwa
Heshima kajivunja mwenyewe kwa kuvunja katiba. Na hata akivimba tupo tayari kumfanya apasuke mpk moyo wake ukate umeme kama jpm.

Mwambieni aliamshe dude na yeye aone.

Eti tuombe kwa utaratibu! Nyoo. Utaratibu my foot!!!
 
Huyo siyo mama, ni mtumishi wa serikali hajaombwa kuwatumikia wananchi.
Kama anataka staha aachie kazi ya utumishi wa uma
Mimi ni mtumishi wa umma, and kama nikiwa bosi wako and haubehave, i fk you in a minute
 
Heshima kajivunja mwenyewe kwa kuvunja katiba. Na hata akivimba tupo tayari kumfanya apasuke mpk moyo wake ukate umeme kama jpm.

Mwambieni aliamshe dude na yeye aone.

Eti tuombe kwa utaratibu! Nyoo. Utaratibu my foot.
Umeisoma hii katiba iliyopo?
 
Heshima kajivunja mwenyewe kwa kuvunja katiba. Na hata akivimba tupo tayari kumfanya apasuke mpk moyo wake ukate umeme kama jpm.

Mwambieni aliamshe dude na yeye aone.

Eti tuombe kwa utaratibu! Nyoo. Utaratibu my foot!!!
Mlimkimbia Magu mfs, wengine Dudai, Ubelgiji na Canada
 
Tungewaelewa kama mngepambana na jamaa, siyo kukimbia nchi
Mdude aliyemnyoa jpm si yupo. Na ametamka on camera kumwambie mama ajiandaye kunyolewa akiendelea kuleta za kuleta. Kisha tamka Sasa amguse anuke!!
 
Mdude aliyemnyoa jpm si yupo. Na ametamka on camera kumwambie mama ajiandaye kunyolewa akiendelea kuleta za kuleta. Kisha tamka Sasa amguse anuke!!
Why did you run mfs? We are going to create another jpm in Samia? And dont run to Belgium, Dubai or Canada, Stay here and see how much we gonna fk you
 
Back
Top Bottom