Tatizo la Tanzania sio Katiba Mpya bali utii wa Katiba iliyopo

Tatizo la Tanzania sio Katiba Mpya bali utii wa Katiba iliyopo

Why did you run mfs? We are going to create another jpm in Samia? And dont run to Belgium, Dubai or Canada, Stay here and see how much we gonna fk you
Mdude katangaza hadharani kwamba atamnyoa mqma kwa kiwembe. Mama kaufyata. Usicheze na majasiri kama Mdude.

Mama hana jeuri anajua kilichompata jpm

Halafu acha kujiweka na wewe mbwa wa lumumba. Eti unatumia neno "we". Kwani nqni qnakujua mavi wewe??
 
Mdude katangaza hadharani kwamba atamnyoa mqma kwa kiwembe. Mama kaufyata. Usicheze na majasiri kama Mdude.

Mama hana jeuri anajua kilichompata jpm

Halafu acha kujiweka na wewe mbwa wa lumumba. Eti unatumia neno "we". Kwani nqni qnakujua mavi wewe??
Mama ana kila kitu, ana jeshi, mahakama na bunge, akiamuamu kuwafk watu kama nyie ni dakika tu, fk you
 
Ndiyo kazi za wafirika choka mbaya mlioko huko nje. Yaani dunia ya leo iko kiganjani. Miaka ya nyuma ndiyo walidanganya watu eti Niko ng'ambo. Watu wakajua mnaula kumbe mnataabika hatari.

Kazi za mbwa kama nyie ni
...kuosha wazee
..kuchamba wazee
..kuosha vichaa
..kulea vichaa.

...kusafisha vyoo wanapewa waliosoma
Sasa si Bora urudi tu bongo man unataabika sana
Pole sana mzee, pole sana, mimi nimeletwa huku na hao watu unaowapiginia, pole sana bitch
 
Pole sana mzee, pole sana, mimi nimeletwa huku na hao watu unaowapiginia, pole sana bitch
Mjinga kweli fala wewe. Kama ni kupewa scholarship za kwenda kusoma hata mm nimesoma Ulaya. Nimemaliza mwaka juzi tu. Sasa wewe paka ambaye unasema hurudi na wakati umepelekwa, una akili kweli?

Basi serikali imeingia hasara kwa kupeleka nje mavi kama wewe
 
Ndiyo kazi za wafirika choka mbaya mlioko huko nje. Yaani dunia ya leo iko kiganjani. Miaka ya nyuma ndiyo walidanganya watu eti Niko ng'ambo. Watu wakajua mnaula kumbe mnataabika hatari.

Kazi za mbwa kama nyie ni
...kuosha wazee
..kuchamba wazee
..kuosha vichaa
..kulea vichaa.

...kusafisha vyoo wanapewa waliosoma
Sasa si Bora urudi tu bongo man unataabika sana
And nipo katika watu wanaorun hiyo nchi, and we will https://jamii.app/JFUserGuide you forever btch, go on with your cdm shit
 
K
Uelewa wangu na uzoefu wangu ni kuwaTanzania haihitaji katiba mpya bali inahitaji uingozi unaozingatia katiba iliyopo.
Hospitali na vituo vya afya vimejengwa tukiwa na katiba ya zamani,
Madarasa yamejengwa tukiwa na katiba ile ile.
Tunajenga SGR ,NYERERE DAM n.k kwa katiba ileile.
Tumeingia uchumi wa kati na katiba ya 77.
Hakuna linaloshindikana kwa katiba iliyopo na kama lipo hawa mamluki wanaodai katiba mpya waainishe beyond reasonable doubts kwamba hayatawezekana kwa katiba iliyopo.

otherwise wapinzani wanataka fashion tu eti Tanzania iwe na katiba mpya.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Wekundu wewe ni mjinga kama ulivyojitambulisha kwa majina yako

Katiba siyo kujenga madaraja.

Hata madiktera hujenga madaraja kwa kutumia katiba katiba kandamizi
 
Mjinga kweli fala wewe. Kama ni kupewa scholarship za kwenda kusoma hata mm nimesoma Ulaya. Nimemaliza mwaka juzi tu. Sasa wewe paka ambaye unasema hurudi na wakati umepelekwa, una akili kweli?

Basi serikali imeingia hasara kwa kupeleka nje mavi kama wewe
Sina scholarship malaya wewe, hamna mtu mwenye uwezo wa kunipa mimi scholarship. https://jamii.app/JFUserGuide you
 
Uelewa wangu na uzoefu wangu ni kuwaTanzania haihitaji katiba mpya bali inahitaji uingozi unaozingatia katiba iliyopo.
Hospitali na vituo vya afya vimejengwa tukiwa na katiba ya zamani....
Kweli wewe Jingalao, endelea na majinga wenzio kuamini unachoamini
 
Yaani Rais anamteua Jaji Mkuu halafu unataka aiheshimu katiba? Mafi ya popo!
Kuna Mhimili Mmoja umeenda chini zaidi by Mwendazake.
 
Mjadala wa madai ya Katiba mpya unaendelea kushika hatamu. Baadhi yetu wanadai kuwa nchi inahitaji Katiba mpya, wanatoa sababu zao. Madai yao ni ya kuheshimiwa kwa sababu ni haki yao lakini ni yenye kustahili kusahihishwa kwa sababu si ya kweli. Ni uongo!..
Tujikite kwenye kuifanya mihimili ya nchi iwe huru.

Raisi anateua majaji. Hivi mahakama inawezaje kuiwajibisha serikali katika mazingira hayo?

Suala la watu kutowajibishwa ni kwa sababu Mhimili wa serikali una mamlaka makubwa sana kuliko wengine. Ndo maana tunataka katiba mpya.

Halafu suala la kufananisha Raisi wa nchi na baba wa familia ni upumbavu. Hivi kwenye familia yenu huwa mnakaa kikao baada ya kila muda fulani ili kuchagua baba wa familia?

Viongozi wa serikali wanatutumikia sisi au sisi tunawatumiki wao?

Nioneshe ajira popote duniani ambapo mtumishi anakuwa na mamlaka makubwa kuliko boss wake.
 
Tatizo la watanzania sasa ni huu umasikini. Watanzania wengi wanawaza kuwa na maisha bora angalau pesa itembee mikononi mwao. Kuwaletea Katiba Mpya kwa sasa hata hawakuelewi zaidi wataona ni mpango wenu nyie wanasiasa kujinufaisha.
Turejesheni uchumi wa watu kwanza hiyo katiba itakuja tu. Mbona tumeishi miaka 10 ya Maisha Bora kwa kila Mtanzania na katiba hii hii ya zamani??
Katiba mpya inakuzuiaje wewe kuendelea kiuchumi?
 
Andiko lako, naliunga mkono, pamoja na kwamba sijasoma uliyoandika humo ndani, mbali ya Kichwa cha habari na 'subtitles' zake.

Lakini, Katika viongozi wote tuliowahi kuwapata Tanzania, pamoja na uwepo wa Katiba hii, sikumbuki uwepo wa kiongozi mwingine mbali ya Magufuli aliyeonyesha waziwazi kutoijali katiba iliyopo, na ambayo aliapa kuihifadhi, kuilinda na kuitetea....
Ukiwa na katiba ya kueleweka watu wanasimami viapo vyao. Hakuna polisi utamtuma akauwe watu atakubali eti kwa sababu tu wewe ni mkuu wa nchi.
 
Madaraja na SGR Africa Kusini yalijengwa na makaburu wakiwa na katiba yao iliyokuwa inasema Mtu mweusi na pungufu ya mzungu
 
Rais anaemiliki hazina na majeshi, kama hakuna hulka ya kuheshimu taratibu zilizopo hata kama mkiwa na katiba nzuri vipi atawayumbisha tu.

Vinginevyo mtajikuta mnataka kuandika katiba nyingine kila mwaka.

Dhana kwamba Katiba mpya itamuondolea Rais Madaraka, Si kweli, bali Katiba Mpya itapunguza madaraka ya rais ya sasa na kumwekea misingi imara ya kuongoza nchi kama rais kuliko ilivyo sasa anavyoongoza kama mfalme.
 
Sasa umeandika kitu gani.?

Watu hawaitii katiba iliyopo kwakua inawalinda. Laiti kama wasingelindwa, basi wangeitii maana baada ya kumaliza muda wao, wangepelekwa mahakamani kujibu mashtaka yao..
Mbona kuna uzi ulisha rushwa humu. Watu waliandika mapungufu meengi tu. Waandike mara ngapi mkuu. Maoni watu walishatoa sana tu
 
Nakubaliana na wewe pale mwanzoni kwamba tatizo ni kutii Katiba ingawa kwa hakika ukitaka kulipatia tatizo kwa ujumla wake ingefaa isemwe tarizo ni Kukuwepo au kutotekeleza utawala wa sheria.

Hao wanaotawala kwa niaba yetu na kwa ruhusa yetu wanatakiwa wafuate Katiba na sheria, wasichaguliwe kisha baada ya hapo wanajigeuza kuwa masultani!

Ufafanuzi wako baada ya utii wa Katiba sikubaliani nao. Utawala mzuri wa sheria "Good governance" ni zaidi mno ya maoni yako.
 
Mjadala wa madai ya Katiba mpya unaendelea kushika hatamu. Baadhi yetu wanadai kuwa nchi inahitaji Katiba mpya, wanatoa sababu zao. Madai yao ni ya kuheshimiwa kwa sababu ni haki yao lakini ni yenye kustahili kusahihishwa kwa sababu si ya kweli. Ni uongo...
Hata Nyerere Alikiri kuwa KATIBA hii ni Mbaya na ndio Maana Jakaya Kikwete Akaanzisha Mchakato
 
Mbona kuna uzi ulisha rushwa humu. Watu waliandika mapungufu meengi tu. Waandike mara ngapi mkuu. Maoni watu walishatoa sana tu
Humu kuna watanzania wangapi mkuu.? Je, hata waliopo humu, wanaujua umuhimu wa katiba kwenye kesho ya maisha ya watoto wao?

Mimi nadhani hatua ya kwanza kufanya ni kuhakikisha idadi kubwa ya watu wanaijua katiba iliyopo kwanza.

Tukiruka hatua, basi tutaonekana waasi. Lakini hatua zikifuatwa, basi tutapata support ya wananchi hata kama hawataungana na sisi. Maana watakua wanaijua katiba na wanayajua mapungufu yake na watakua wanawashangaa watawala kwanini hawataki mchakato wa katiba mpya kukamilishwa.

Nje ya hili ninalolisema, hata wananchi watajenga image mbaya kwa vyama vya upinzani kwa kuwaona ni waanzisha vurugu wakati madai yao ni ya mantiki
 
Back
Top Bottom