Waungwana naomba ushauri wenu katika hili tatizo hili limekuwa sugu kwangu huwa natumia dawa za kupunguza gesi lakini zikiisha tatizo linaendelea
Mwenzi wangu kwa maana ya mke kanivumilia kwa kipindi chote lakini sasa anasema nisipo tafuta utatumizi wa hili swala anaachana nami
Njia pekee inayo nipunguzia maumivu ya tumbo kujaa gesi na kunifanya nijihis na ahueni ni hii ya kupumua yaan kujamba
Nishauri ndugu zangu nifanye nini ili niondokane na hili tatizo lakini pia ni inusuru ndoa yangu
Ha ha ha we jamaa hatar wawekezaji tena..Mkuu pole sana asee ina maana unajamba tu hovyo hadi imekuwa kero kwa mwenzi wako???Itakuwa ni kero kweli aseee.Jaribu kuepukana na aina ya vyakula vya protini hasa nyama,maziwa na maharagwe.Badala yake ule matunda kwa wingi na mboga mboga.Pia fanya mazoezi ya kutosha kuwezesha uyeyushaji mzur wa chakula na pia kunywa maji mengi zaidi.
IKISHINDIKANA WAAMBIE WATU WANAOHUSIKA NA UWEKEZAZI WA GESI WAJE KUCHIMBA.
Yaani ushuzi umfanye mke akuache? Anakutafutia visa, mwahi yeye...Waungwana naomba ushauri wenu katika hili tatizo hili limekuwa sugu kwangu huwa natumia dawa za kupunguza gesi lakini zikiisha tatizo linaendelea