Tatizo la tumbo kujaa gesi na kupelekea mara kwa mara kutoa hewa chafu linahatarisha ndoa yangu

Tatizo la tumbo kujaa gesi na kupelekea mara kwa mara kutoa hewa chafu linahatarisha ndoa yangu

Jamani nimepitia Coment zenu zote kwamakini pamoja na zile za waekezaji ila kiukweli naona kwangu limekuwa tatizo zaidi nimekuwa nikisumbuliwa sana na gesi wakati wa usiku naskia njaa sana na koo kukauka kabisa halafu chembe cha moyo kuniuma sana yaani chini ya kifuwa kwakweli hata nguvu za kiume zimepunguwa jama tupeni ushauri na muache mzaha
 
Nenda hospital itakuwa ùna ngiri
 
Utakua na acid reflux, jaribu kunywa baking soda robo kijiko cha chai una changanya na maji kutwa mara tatu
 
Wadau habari zenu,

Naomba kujuzwa ni dawa gani nzuri au matibabu gani yanamfaa mtu anayesumbuliwa na tumbo kujaa gesi.

Nina ndugu yangu anasumbuliwa na tatizo hili,anasema chochote anachokula lazima tumbo lijae gesi,alienda amana hakuna alichopata zaidi ya kumlipisha madawa ambayo hayamsaidii.

Anasema pia ,hata akinnywa maji hali inakuwa vivyo hivyo.

So naombeni msaada wa kujua namna gani ya kumsaidia .
 
Ana kiwanda cha gesi, afanye maarifa ya kuitoa kuihifadhi na kuiuza kama hawezi basi mwambie aanze kwa kujitibu minyoo.
 
Wakuu habari,
Kwa zaidi ya week sasa nimekua nikisumbuliwa na tumbo. Linajaa gesi na kwa upande wa kushoto chini ya mbavu napata maumivu. Nimetumia dawa za kuondoa gas lakin matokeo bado.
Ushauri wenu wakuu.
 
Acha kunywa soda na vinywaji vyenye gas, acha kutafuna chewing gum. Kula matunda mboga mboga na kunywa maji mengi pia fanya mazoezi light.

Ukipata choo itasaidia.
Choo napata vizuri tu. Kuhusu soda si mpenzi kabisa.
 
Vidonda tumbo hivyo ndio vipo michakatoni kuanza kukutesa hapo kuna baadhi ya vyakula uviepuke hadi upone.
 
Hello jamii forum doctors!
Poleni na majukumu ya kujenga familia na taifa
Naombeni msaada wa tatizo la tumbo kujaa gesi .
 
Epuka kutumia vyakula vya nafaka, carbonated drinks pamoja na chips ama mafuta yaliotumika kisha kuyarudia kwani huwa yana acid nyingi.
Kisha unaweza kwenda dawa antiacid zinauzwa tu phamasi au OTC.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom