christelly
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,462
- 1,466
Kujampa ni kupumua ...muhamuduuuuuuuuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzi wangu kwa maana ya mke kanivumilia kwa kipindi chote lakini sasa anasema nisipo tafuta utatumizi wa hili swala anaachana nami
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kama unapenda kula karanga au korosho, acha!
Mkuu dawa ni rahisi tu. Ponda ponda tangawizi(ginger) unakunywa asubuhi yeyewe plain nusu saa kabla ya kula au kunywa chochote na kisha unakunywa tena mchana kabla ya chakula, na jioni kabla ya chakula. Ukishindwa mara tatu basi jitahidi kunywa asubuhi au jioni angalau mara mojavkwa siku. Ila asubihi ndio muhimu sana. Pia kunywa maji ya kutosha hasa ya moto.Nilienda Hospatal nikakutwa na hyprol nikapewa mabox ya vidonge vya mwezi mzima nikanywa nikamaliza hali ikawa imetulia kidogo na masharti mengi kweli ya vyakula vya kutumia lakin baada ya muda hali ikajirudia lakn safari hii hyporol sikuwa nae ni hali ya tumbo jaa gesi tuu hivyo na tumia dawa za ges ikiwapo tuu sema zikiisha hali inarudi vile vile
Kuna mtu kaniambia mlongelonge ni dawa pia ya hili tatizo ni kweli wa ndugu ni utafute
Mkuu pole sana asee ina maana unajamba tu hovyo hadi imekuwa kero kwa mwenzi wako???Itakuwa ni kero kweli aseee.Jaribu kuepukana na aina ya vyakula vya protini hasa nyama,maziwa na maharagwe.Badala yake ule matunda kwa wingi na mboga mboga.Pia fanya mazoezi ya kutosha kuwezesha uyeyushaji mzur wa chakula na pia kunywa maji mengi zaidi.
IKISHINDIKANA WAAMBIE WATU WANAOHUSIKA NA UWEKEZAZI WA GESI WAJE KUCHIMBA.
Kunywa maji ya kawida tu siyo ya baridi wala moto lita moja asubuhi kila siku kabla ya kupiga mswaki na kabla kula kitu chochote mkuu, itakusaidia ,ingawa siku za mwanzo tumbo litasumbua ila ukishazoea mambo yatakuwa murua hakuna cha gesi wala kujamba jamba ovyo, kuna kipindi fulani me mwenyewe nilikuwa nasumbuliwa na hiyo hali nilipofanya hivyo tatizo liliisha , jaribu hiyo kitu kaka itakusaidiaWaungwana naomba ushauri wenu katika hili tatizo hili limekuwa sugu kwangu huwa natumia dawa za kupunguza gesi lakini zikiisha tatizo linaendelea
Mwenzi wangu kwa maana ya mke kanivumilia kwa kipindi chote lakini sasa anasema nisipo tafuta utatumizi wa hili swala anaachana nami
Njia pekee inayo nipunguzia maumivu ya tumbo kujaa gesi na kunifanya nijihis na ahueni ni hii ya kupumua yaan kujamba
Nishauri ndugu zangu nifanye nini ili niondokane na hili tatizo lakini pia ni inusuru ndoa yangu
Kunywa maji ya vuguvugu lita moja kila siku asubuhi...
Acha kula maharage na vyakula vinavyotengeneza gesi haraka.Nilienda Hospatal nikakutwa na hyprol nikapewa mabox ya vidonge vya mwezi mzima nikanywa nikamaliza hali ikawa imetulia kidogo na masharti mengi kweli ya vyakula vya kutumia lakin baada ya muda hali ikajirudia lakn safari hii hyporol sikuwa nae ni hali ya tumbo jaa gesi tuu hivyo na tumia dawa za ges ikiwapo tuu sema zikiisha hali inarudi vile vile
Kuna mtu kaniambia mlongelonge ni dawa pia ya hili tatizo ni kweli wa ndugu ni utafute
Yan unapoteza mudaa ukishamaliza kulaa ukashibaa vizurii tafutaa kamua kadogo au hataa likubwa unapiga nusuu afuu tuonee hiyoo gesii itatokea WAP?Nilienda Hospatal nikakutwa na hyprol nikapewa mabox ya vidonge vya mwezi mzima nikanywa nikamaliza hali ikawa imetulia kidogo na masharti mengi kweli ya vyakula vya kutumia lakin baada ya muda hali ikajirudia lakn safari hii hyporol sikuwa nae ni hali ya tumbo jaa gesi tuu hivyo na tumia dawa za ges ikiwapo tuu sema zikiisha hali inarudi vile vile
Kuna mtu kaniambia mlongelonge ni dawa pia ya hili tatizo ni kweli wa ndugu ni utafute
Sugu kwa muda gani? Ipo muda wote? Chakula gani kinafanya hali iwe mbaya zaidi?Je kuna dalili nyingine kama tumbo kuuma, kutopata choo or kuharisha, kutoa choo cha vijikamasi kwa sbb kama unatumia dawa kutibu gesi huenda unatibu dalili, ni vzr kujua nn kinachosababisha hyo gesi kujaa, hlf nmeona somewhere umeandika hyprol hili neno uliandikiwa hospital as tatzo lako??Waungwana naomba ushauri wenu katika hili tatizo hili limekuwa sugu kwangu huwa natumia dawa za kupunguza gesi lakini zikiisha tatizo linaendelea
Mwenzi wangu kwa maana ya mke kanivumilia kwa kipindi chote lakini sasa anasema nisipo tafuta utatumizi wa hili swala anaachana nami
Njia pekee inayo nipunguzia maumivu ya tumbo kujaa gesi na kunifanya nijihis na ahueni ni hii ya kupumua yaan kujamba
Nishauri ndugu zangu nifanye nini ili niondokane na hili tatizo lakini pia ni inusuru ndoa yangu