Tatizo la tumbo kujaa gesi na kupelekea mara kwa mara kutoa hewa chafu linahatarisha ndoa yangu

Mwenzi wangu kwa maana ya mke kanivumilia kwa kipindi chote lakini sasa anasema nisipo tafuta utatumizi wa hili swala anaachana nami

Hapo ni kujamba tu, mkeo anataka kusepa. Siku ukipooza au ukikatwa miguu (GOD forbid) na ukawa ni wa kukaa tu na kuogeshwa, si atakukukimbia fasta huyo mama? Mungu atuhurumie sana aisee.

Tatizo lako nadhani linatibika. Nenda hospitali upate ushauri wa kitaalamu.
 
Mkuu dawa ni rahisi tu. Ponda ponda tangawizi(ginger) unakunywa asubuhi yeyewe plain nusu saa kabla ya kula au kunywa chochote na kisha unakunywa tena mchana kabla ya chakula, na jioni kabla ya chakula. Ukishindwa mara tatu basi jitahidi kunywa asubuhi au jioni angalau mara mojavkwa siku. Ila asubihi ndio muhimu sana. Pia kunywa maji ya kutosha hasa ya moto.
 
Tangawizi unaweza kuweka sukari kama chai lakini bora zaidi ukiweka asali mbichi.
 

Hahahah
 
Piga chini huyo demu kwanza wakati unaendelea Kutafuta tiba
 
Kunywa maji ya kawida tu siyo ya baridi wala moto lita moja asubuhi kila siku kabla ya kupiga mswaki na kabla kula kitu chochote mkuu, itakusaidia ,ingawa siku za mwanzo tumbo litasumbua ila ukishazoea mambo yatakuwa murua hakuna cha gesi wala kujamba jamba ovyo, kuna kipindi fulani me mwenyewe nilikuwa nasumbuliwa na hiyo hali nilipofanya hivyo tatizo liliisha , jaribu hiyo kitu kaka itakusaidia
Kunywa maji ya vuguvugu lita moja kila siku asubuhi...
 
Si watafiti walisema kuvuta hivyo hewa kunapunguza chance ya kupata kansa??
 
Acha kula maharage na vyakula vinavyotengeneza gesi haraka.

Kunywa maji ya kutosha lita moja asubuhi tena ya uvuguvugu saa moja kabla hujatia kitu tumboni.

Halu ikiendelea rudi tena kwa hospital ila badili hospital
 
Kijana, endelea tu ku produce mishuzi wala usijali ndio njia ya kutoa io gesi tumboni/ hewa chafu.....
 
Pole sana mkuu. Fanya ivi .

1/ Glass ya maziwa ya moto ,,, weka vijiko viwili vya unga wa mdalasini , kunywa asubuh na jion.

Au
2/ glass yamaji vuguvugu ,, ongeza vijiko viwili vya Vinega ya apple ( supamaketi zipo ) ,,chemsha huo mchanganyiko kunywa ,,,,, ..glass moja asubuh na jion.

Au

3/ chukua limao moja ,,, kamua upate juisi yake,,, iweke ndan yaglass ,,ongeza vijiko viwili vya baking soda ( maduka zipo ) ongeza na maji masafi nasalama kisha kunywa ,, asubuh najion .

Nyongeza ,,, uwe unafanya namazoezi ya kukata tumbo (yoga) ( unalaa huku macho yako yanangalia angan (chali ) hakikisha unakunja migogo kufuata tumbo lako ( namaanisha unakunja miguu mpaka magoti yakaribia kugusa kifua !! ...

Utani Wangu ,,, kama anataka kukuacha kisa Ilo tatizo huyo hajawahi kufikiria kukupenda.
 
Yan unapoteza mudaa ukishamaliza kulaa ukashibaa vizurii tafutaa kamua kadogo au hataa likubwa unapiga nusuu afuu tuonee hiyoo gesii itatokea WAP?
 
Ungekua mume wangu tungeangaika kupata tiba na sio kusema ntakuacha.

hiyo hyporol nadhani bado ipo nenda hospital kubwa kwa vipimo zaidi.
 
Sugu kwa muda gani? Ipo muda wote? Chakula gani kinafanya hali iwe mbaya zaidi?Je kuna dalili nyingine kama tumbo kuuma, kutopata choo or kuharisha, kutoa choo cha vijikamasi kwa sbb kama unatumia dawa kutibu gesi huenda unatibu dalili, ni vzr kujua nn kinachosababisha hyo gesi kujaa, hlf nmeona somewhere umeandika hyprol hili neno uliandikiwa hospital as tatzo lako??
Ushauri wangu waone gastroentelogist physian wakusaidie
 
Nashukuru sana wote kwa ushauri mnazo nipatia naimani ntapata utatuzi wa hili swala
 
Pole sana mkuu hakika hilo ni tatizo,zingatia ushauri waliotoa wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…