Mudrik Makas
New Member
- Oct 3, 2018
- 3
- 1
Nenda hospital itakuwa ùna ngiriJamani nimepitia Coment zenu zote kwamakini pamoja na zile za waekezaji ila kiukweli naona kwangu limekuwa tatizo zaidi nimekuwa nikisumbuliwa sana na gesi wakati wa usiku naskia njaa sana na koo kukauka kabisa halafu chembe cha moyo kuniuma sana yaani chini ya kifuwa kwakweli hata nguvu za kiume zimepunguwa jama tupeni ushauri na muache mzaha
OK sawaAkapime vidonda vya tumbo kwanza..
Bahati mbaya siko naye karibu ndugu
Ana kiwanda cha gesi, afanye maarifa ya kuitoa kuihifadhi na kuiuza kama hawezi basi mwambie aanze kwa kujitibu minyoo.Wadau habari zenu,
Naomba kujuzwa ni dawa gani nzuri au matibabu gani yanamfaa mtu anayesumbuliwa na tumbo kujaa gesi.
Nina ndugu yangu anasumbuliwa na tatizo hili,anasema chochote anachokula lazima tumbo lijae gesi,alienda amana hakuna alichopata zaidi ya kumlipisha madawa ambayo hayamsaidii.
Anasema pia ,hata akinnywa maji hali inakuwa vivyo hivyo.
So naombeni msaada wa kujua namna gani ya kumsaidia .
Dah,FaizaFoxy mama nakushukuru kwa ushauri japo umetanguliza utani.Ana kiwanda cha gesi, afanye maarifa ya kuitoa kuihifadhi na kuiuza kama hawezi basi mwambie aanze kwa kujitibu minyoo.
Bibi...!!!Ana kiwanda cha gesi, afanye maarifa ya kuitoa kuihifadhi na kuiuza kama hawezi basi mwambie aanze kwa kujitibu minyoo.
Choo napata vizuri tu. Kuhusu soda si mpenzi kabisa.Acha kunywa soda na vinywaji vyenye gas, acha kutafuna chewing gum. Kula matunda mboga mboga na kunywa maji mengi pia fanya mazoezi light.
Ukipata choo itasaidia.