Aisee nilikua na hilo tatizo wife kidogo akimbie chumba aisee
Nikapata dawa
Unga wa mdalasini ndio dawa. Unachukua nusu kijiko kikubwa unatia kwenye glass ya maji unachanganya unakunywa. Ukitumia gas inakata saa hiyo hiyo na ukitumia mchana na jioni kwa mwezi mmoja tatizo linaisha
Ntajribu na mm unaiandaaje hyo chai maana na mi nna tatz hilo pia
Asante sanaWeka kwenye sufuria vitu vifuatavyo Saga tangawizi vijiko 2,karafuu ya unga vijiko 2,mdalasini vijiko 2 kisha weka iriki punje 5,tia maji vikombe 2 au 1½ cha chai chemsha kwa dakika 10 uku umefunika ikiwa tayari kunywa ni nzuri waweza kuweka sukari au inaweza kuwa maziwa.
Vipimo vya viungo vinabadilika kulingana na mahitaji yako.
Pole sana umenikumbusha mjomba wangu kipenzi alikumbwa na hilo tatizo alikaa wiki 1 na zaidi bila choo baada ya kwenda hospital aliambiwa kama ulivyoambiwa wewe alifariki kwa hilo tatizo,alifanyiwa operation baada wiki 2 aliaga dunia,R.N.P Uncle. Tumia chai ya viungo inasaidia kupunguza tatizo japo zipo njia nyingi.Mimi nilikuaga na tatizo hili, siku nikazidiwa kweli kweli. Kukimbizwa hospital sijitambui, pigwa X-Ray.
Majibu yakatoka, utumbo umejikunja. ilibaki 5% tu nife.
Daaah... Hatari sana. Maisha hayaPole sana umenikumbusha mjomba wangu kipenzi alikumbwa na hilo tatizo alikaa wiki 1 na zaidi bila choo baada ya kwenda hospital aliambiwa kama ulivyoambiwa wewe alifariki kwa hilo tatizo,alifanyiwa operation baada wiki 2 aliaga dunia,R.N.P Uncle. Tumia chai ya viungo inasaidia kupunguza tatizo japo zipo njia nyingi.
Jichunguze unakula vyakula gani vinavyo sababisha wewe upate tumbo lako kujaa gesi? Hapo ndipo utakapo weza kujitibia maradhi ya tumbo kujaa gesi.Haloo wadau naomba mnijuze shida itakuwa nn
mi langu lilikuwa linajaa gesi nilitibu kwa kacha vyakula vyenye GLUTEN. kwa sasa nakula Glueten free tu, hata uzito wa kilo zangu umekuwa sawia. mwanzo tumbo lilikuwa kubwa kuzidi mwiliHaloo wadau naomba mnijuze shida itakuwa nn
Inapatikana maduka ya dawa?Kanunue dawa moja ya edmark inaitwa shake off utakuja kuniambia inatoa uchafu wpte tumbo linakuwa safi hutopata kujamba ovyo utaharisha hasa watakupa maelekezo namna ya kutumia kisha njoo utupe marejesho
Vyakula vya gluten ni vipi hivyomi langu lilikuwa linajaa gesi nilitibu kwa kacha vyakula vyenye GLUTEN. kwa sasa nakula Glueten free tu, hata uzito wa kilo zangu umekuwa sawia. mwanzo tumbo lilikuwa kubwa kuzidi mwili
Zinapatikana ofisn nipigie simu kuzipata 0620258276Inapatikana maduka ya dawa?
Gastric juice ikimwaga kuburn Chakula kwa ajili ya kumeng'enywa kwa urahis ukiwa na ulaji mbovu mtindo wa maisha mbovu ni vyanzo vyake unfortunately hospital utaishia kupoteza muda wako tu hakuna tiba zaidi ya kujaza sumu za madawa katika mwili wako solution pekee ni therapy ya Supplements wasiliana nami kuzipata kwa gharama nafuu 0620258276Haloo wadau naomba mnijuze shida itakuwa nn
Tibiwa kwa tiba acupressure therapy. Hili ni tatizo la kuhama kwa SP, ikirekebishwa tatizo linakwisha. Msaada mwingine tafuna pilipili manga punje 4 na sukari kidogo asubuhi kabla ya kula chochote na usile chochote hadi nusu saaWaungwana naomba ushauri wenu katika hili tatizo hili limekuwa sugu kwangu huwa natumia dawa za kupunguza gesi lakini zikiisha tatizo linaendelea
Mwenzi wangu kwa maana ya mke kanivumilia kwa kipindi chote lakini sasa anasema nisipo tafuta utatumizi wa hili swala anaachana nami
Njia pekee inayo nipunguzia maumivu ya tumbo kujaa gesi na kunifanya nijihis na ahueni ni hii ya kupumua yaan kujamba
Nishauri ndugu zangu nifanye nini ili niondokane na hili tatizo lakini pia ni inusuru ndoa yangu