Habari waungwana na poleni kwa majukumu,
Nina mwanamke wangu ambaye alimaliza kujifungua na huu ni mwezi wa tano kwenda wa sita anatatizo la kuumwa tumbo kwa kubanwa chini ya kifua na vile vile hapati hamu ya kula.
Ni kama misuli ya tumbo inauma na kuachia.
Ninaombeni ufumbuzi kwa anayefahamu.
Kama ni tumbo kuhusu uzazi au ni vinginevyo.
Robert Heriel Mtibeli ndugu nashukuru sana kwa mchango wako adhimu kaka mungu awe nawe.
Amina ndugu ukawe faraja kwa wengi kama mimi.