Tatizo la uhaba wa mafuta ya kula siyo la Tanzania pekee

Tatizo la uhaba wa mafuta ya kula siyo la Tanzania pekee

Huko kwingine nako kunastawi vizuri alizeti, mawese, ufuta na mazao mengine yanayotumika kutengeneza mafuta ya kula kama ilivyo Tanzania!?

Endeleeni tu kutetea na ku justify ujinga huku mkidhan nanyi ni sehemu ya inner most system wakati wengi wenu ni hopeless tu msio na mbele wala nyuma
 
Hii ni nafasi kwa Tz kuzalisha Mafuta kwa wingi na Kuuza Nje, Soko lipo, Aridhi tipo, tatu wapo, shida ni kodi na sheria kibao
 
Wajomba kila tatizo huona kama kamba ya kuwakoa kufunika udhaifu wao wa matokeo ya kushindwa!
 
Back
Top Bottom