Ipo siku sababu Tanzania ni maskini mtaandika hainana tatizo sababu hata Mozambique ni maskini. Nini sasa ji justification ya kukosa mafuta,kisa tu nchi zingine zina uhaba.Jana Kuna watu humu walikuwa wanajadili kuhusu uhaba wa mafuta ya kula. Leo WHO wametoa takwimu Kuwa mafuta ya kula yameadimika kwa asilimia 14 duniani kote. Tanzania siyo kisiwa changamoto hizi lazima tupambane nazo Kama nchi hakuna namna nyingine.
Kauli dhaifu kwa mtu dhaifuJana Kuna watu humu walikuwa wanajadili kuhusu uhaba wa mafuta ya kula. Leo WHO wametoa takwimu Kuwa mafuta ya kula yameadimika kwa asilimia 14 duniani kote. Tanzania siyo kisiwa changamoto hizi lazima tupambane nazo Kama nchi hakuna namna nyingine.
Haaaaa Jane Lowassa?Nasikia ndiyo maana wamehalalisha bangi ili ikamuliwe iwe mafuta
Halafu nilikuwa mteja mzuri wa haya mafuta muda mrefu sana, baadaye nikaacha kuyaonaViwanda vingi vya mafuta kikiwepo kiwanda cha mafuta cha sunola Arusha kilifungwa kutokana na kubambikiwa Kodi na faini zisizo lipika
#Mitanotena
Sio lazima,kinachotokea duniani kwenye mafuta ya kula,lazima kituathiri TZ,ingekuwa ni mafuta ya diesel sawa lakini sio mafuta ya kula au sukari,kuamini hivyo,ni kudumaza akili,Jana Kuna watu humu walikuwa wanajadili kuhusu uhaba wa mafuta ya kula. Leo WHO wametoa takwimu Kuwa mafuta ya kula yameadimika kwa asilimia 14 duniani kote. Tanzania siyo kisiwa changamoto hizi lazima tupambane nazo Kama nchi hakuna namna nyingine.
Pumbavu data za mashirika ya kimataifa yakitoa mnaangalia ipi inawabeba, ndio mnaitangaza ili kuficha udhifu, wakitoa takwimu za kuzorota haki za binadamu na demokrasia, povu linatoka wakisema uchumi unakuwa 4% mnasema wanatuonea wivu! Mkubali yote na mfanyie kazi.Jana Kuna watu humu walikuwa wanajadili kuhusu uhaba wa mafuta ya kula. Leo WHO wametoa takwimu Kuwa mafuta ya kula yameadimika kwa asilimia 14 duniani kote. Tanzania siyo kisiwa changamoto hizi lazima tupambane nazo Kama nchi hakuna namna nyingine.
Data zinaonyesha mpaka leo Tanzania inanunua mawese kutoka nchi nyingineJana Kuna watu humu walikuwa wanajadili kuhusu uhaba wa mafuta ya kula. Leo WHO wametoa takwimu Kuwa mafuta ya kula yameadimika kwa asilimia 14 duniani kote. Tanzania siyo kisiwa changamoto hizi lazima tupambane nazo Kama nchi hakuna namna nyingine.
Kila jambo tunaloshindwa kufanya tunalitolea 'excuse' kwa kutafuta visababu. Sasa tunataka tuonekane sisi sio peke yetu, badala ya kuweka jitihada tuwalishe hao tunaolinganishwa nao.Tatizo la mafuta ya kula kuwa siyo la Tanzania peke yake halifanyi wala halihalalishi tatizo hilo kuwa siyo tatizo.
Mwaka huu,Nchi inalima kiwango kikubwa cha malighafi za kutengeneza mafua.
Unatoka kifua mbele kujivunia na kukubali uhaba wa mafuta kwa mtazamo wa nchi zingine?
Hahahahahaha hizo zingine ndugu uwe unazileta tunajadili hapaPumbavu data za mashirika ya kimataifa yakitoa mnaangalia ipi inawabeba, ndio mnaitangaza ili kuficha udhifu, wakitoa takwimu za kuzorota haki za binadamu na demokrasia, povu linatoka wakisema uchumi unakuwa 4% mnasema wanatuonea wivu! Mkubali yote na mfanyie kazi.
Kodi si lazima ndugu ili nchi ijiendesheHii ni nafasi kwa Tz kuzalisha Mafuta kwa wingi na Kuuza Nje, Soko lipo, Aridhi tipo, tatu wapo, shida ni kodi na sheria kibao
5 tenaJana Kuna watu humu walikuwa wanajadili kuhusu uhaba wa mafuta ya kula. Leo FAO wametoa takwimu Kuwa mafuta ya kula yameadimika kwa asilimia 14 duniani kote. Tanzania siyo kisiwa changamoto hizi lazima tupambane nazo Kama nchi hakuna namna nyingine.
We ni dhaifu sana, kwa iyo unajustify kwa kujilinganisha na madhaifu wenzako?? Dhaifu sana weweJana Kuna watu humu walikuwa wanajadili kuhusu uhaba wa mafuta ya kula. Leo FAO wametoa takwimu Kuwa mafuta ya kula yameadimika kwa asilimia 14 duniani kote. Tanzania siyo kisiwa changamoto hizi lazima tupambane nazo Kama nchi hakuna namna nyingine.