Ilitara kimura
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,888
- 1,867
Bonge la pointTatizo la mafuta ya kula kuwa siyo la Tanzania pekee halifanyi wala halihalalishi tatizo hilo kuwa siyo tatizo
NdiyoHuko kwingine nako kunastawi vizuri alizeti, mawese, ufuta na mazao mengine yanayotumika kutengeneza mafuta ya kula kama ilivyo Tanzania!?
Unfortunately, you're one of the last people I'd waste my time to argue withNdiyo
We mdada anayekupiga mambo hakutandiki kisawasawa maana akili zako hazijakomaa.Nasikia ndiyo maana wamehalalisha bangi ili ikamuliwe iwe mafuta
duh hatari faya kumbeeee eeeh ,basi sawaNasikia ndiyo maana wamehalalisha bangi ili ikamuliwe iwe mafuta
Jane,. Heshima yako.Nasikia ndiyo maana wamehalalisha bangi ili ikamuliwe iwe mafuta
Haki ya nani huyu jamaa yetu hafanyi kazi yake kwa welediWe mdada anayekupiga mambo hakutandiki kisawasawa maana akili zako hazijakomaa.
Jane huyo mjamaa anaekukopuleti hafai tafadhali nipe mimi hiyo kazi baada ya siku moja tu utakuwa na akili kama NewtonNasikia ndiyo maana wamehalalisha bangi ili ikamuliwe iwe mafuta
Wavivu sana kufikiriWajomba kila tatizo huona kama kamba ya kuwakoa kufunika udhaifu wao wa matokeo ya kushindwa!