Tatizo la Uke Kuwa Mkavu: Chanzo, Suluhisho na Ushauri

Hakuna mwanamke aliyemkavu sehemu hizo. Labda awe ana hisia tofauti na hali halis au hakupendi kabisa. Vinginevyo maumbile yako pia yamekaa vibaya yanamtisha mwenzio.
Hapana kiongozi mie mwenyewe kuna mzigo ulikuwa wa hivyo yaani utafanya kila njia ila ukianza mishe nipakavu mpaka unachubuka kabisa halafu cha kushangaa yeye huwa ana enjoy tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NSWECKY,

Angalia isije kuwa huwa unauziwa mbuzi kwenye gunia. Atauwa changu/mdangaji huyo. Watu wanampiga sana mpaka machine haitemi tena. Fuatilia utagundua ukweli wa haya niyasemayo. Haiwezekani demu awe hajapigwa siku kibao, akakosa hisia.

TAFAKARI
 
Hizi mambo sometimes zinahusu sana hisia za mtu juu ya mwenza wake.

Kuna wanawake wengine kama hana hisia na mwanaume hata ufanyeje hawalowani kbs kule maeneo yao ya chini. Ila ukikutana na mwenye hisia na ww ile tu kitendo cha kukuona keshalowana kitaaaambo.
 
Kwa hiyo PAka Mkuu huwa wanabadili badili sehemu za kupigiana?
 
KY inatumika sana kwenye 'Ultra Sound" lakini pia ni inasaidia mno kuepusha maambukizi ya HIV kutokana na kureduce michubuko.
 
Anafika mara 5 hadi 8 halafu bado mkavu, hivi kuna aina ngapi za kufika bila kuloana, huyo atakuwa hakupendi na wala humfikishi hata kama ni mkeo believe me or not
Kuna wanaofika unahisi katoa kitone tuu, na unasikia ulaini umeongezeka baada ya dk chache ishakauka, kwa mfano sisi wazee wa mumo kwa humo unamwaga no halftime hadi inakauka kauu unaanza kutafuta mate yalipo hizo ndio kavu zinazokera.
 
Anafika mara 5 hadi 8 halafu bado mkavu, hivi kuna aina ngapi za kufika bila kuloana, huyo atakuwa hakupendi na wala humfikishi hata kama ni mkeo believe me or not

Kwa uzoefu nilonao hyu ht kilelen hafiki anamdanganya tu kuwa anafika.
 
Pole wanawake mnayopitia majanga hayo. Wengne ni kama kupress the button tu
 
Tatizo limekuamwa kubwa sasa hivi kwa wasichana wengi.
 
Hali ya uke kuwa mkavu (Vaginal drynes) haswa wakati wa kujamiina, hali hii hutokea pale ambapo kichocheo (Hormone) ya Estrogen inakuwa imepungua kwa mwanamke, na tatizo hili linaweza kumtokea mwanamke yeyote yule hata kama hajakoma hedhi, uke mkavu huweza kuwa sababu ya kutumia kilainishi wakati wa Tendo la ndoa.

 
Kilainishi kizuri ni wewe mwenyewe! MKOJOLEE NUSU GOLI TU, CONTROL USIMALIZE THEN endelea, utelezi Mwanzo - hadi mwisho wa Show.
 
Vilainishi wakati wa tendo ndio husababisha uke kua mkavu?au Mimi sijaelewa hapo
 
Sisi hatu tatizo la ukavu Demiss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…