Sio tu hakuwa na mgao pia alizima mitambo ya IPTL ya akina singa singa na rugemalila na walinyimwa leseni ya kuendesha biashara yao ya kuuzia umeme Tanesco.Acheni upumbavu jamani!
Jk alikuwa na mgao wa umeme wa kufa mtu!
Magufuli hakuwa na mgao kabisa wa umeme...!
Samia kaingia tu tayari mgao, hebu twambieni huyu mnaemlaumu yeye alikuwa anatumia mitambo ipi?
Vision ya Magufuli ilikuwa ni umeme wa bei nafuu wa maji ambao ungeongezea huu uliopo kwa kiwango kikubwa tu. Hata tungetengeneza wa gas ila wa maji uwepo kwanza!Nadhani kuna kitu ambacho wewe na mimi hatukijui. Inawezekana kabisa miradi yote hiyo ilikuwa na upigaji mwingi, yaani ilijaa rushwa na watu walikuwa wameshachukua rushwa tayari. Na ndiyo maana kwa sasa kinachotokea ni kuhakikisha "kazi iendelee" ya kufufua yale ambayo awamu ya 5 iliyaona hayafai yanaendelezwa. Kuhusu umeme wa maji nadhani nayo ilikuwa master plan. Kuhusu kukatika kwa umeme kwa kweli sijui awamu ya 5 hayo mambo hayakuwepo.
Wewe huna akil Kwan Nan kakutangazia Leo? Unafikir mgao ingekuwepo usinge jua acheni chuki binafsMnataka kutuambia wakati wa Magufuli umeme ulikuwa haukatiki?
Nani angethubutu kutangaza mgao?
Kuna kenge watakuja kukukejeli haya ndio mambo wengi hawaelewi! Magufuli hakuwa mjinga kama ambavyo wengi wanataka kuaminisha umma. When it came to infrastructures na project benefit analysis jamaa alikuwa ni mwamba.View attachment 2015658
Zitto ni mtu ambae anatafuta information na kujenga premise uchwara anazotaka yeye.
TANESCO long term plan yao ya umeme inapatikana kwenye link hapo juu ☝️na kwenye pipeline kuna renewables, hydropower (stigler gorge is also mentioned), gas and coal. Hakuna priorities ya kipi kianze.
Yeye anachukua source moja na kujengea hoja kama makosa with very simple arguments, watu kama hao wakimpata mtu anaefahamu maswala ya energy kuwa expose limitations zao ni rahisi sana.
Ukiangalia tu ivyo vyanzo vyote vya gas gharama yake inafika $2.9 billion umeme ni megawatts 2500.
Bwawa la Nyerere gharama $2.9 billion umeme megawatts 2115.
Bwawa la Nyerere lina cheap unit costs.
More safe maana bomba la gas lina line moja tu hakuna back. Likichezewa nchi nzima aina umeme na tayari over 64% ya umeme wetu unatokana na Gas kuongeza tena hiyo sio hatua nzuri ya kumitigate energy security risks.
Ukishatengeneza vyanzo inabidi uajiri na kuna gharama za matunzo. Bwawa la Nyerere linaondoa operation costs za plant kama nne hivi za kujenga gas plants.
Vitu vingine ata kuandika shida, I tell you kule Twitter ni kikundi cha wapuuzi tu huwa wanaandika vitu ambavyo awajawahi kuvifanyia research na kuviandikia report katika maisha yao; yaani ni ujinga mtupu.
Usimamizi mbovuZitto saiz ni miongon mwa wanasiasa wanaohaha, sera zake hazina version, tangu kifo Cha mzee, mambo mengi yanadelay sana, kuanzia miradi yamaendeleo iliyokuwa inaenda kwakasi kubwa saizi imekuwa slow sana, na icho ndo kitu kilichofanya mirad ya umeme mingi ikwame kukamilika Kama matarajio yalivyokuwa na kufanya kuibuka kwa tatizo la umeme tunalokabiliana nalo saiz
Kwahiyo sasa hivi haupigi mwingiBy Zitto kupitia twitter:
Mradi wa 300MW Mtwara ulisimama. Mradi wa 350MW Kilwa ulisimama. Mradi wa nyongeza Kinyerezi 185MW ulisimama. Mradi wa Kinyerezi 3 and 4 umesimama. Utapata wapi Umeme kulisha nyongeza ya shughuli za Uchumi baada kufungua Nchi?
Miradi yote ya Umeme iliyokuwa kwenye power system master plan ilisimama kupeleka hela kwenye Stigler’s gorge ambayo wataalamu wote walituambia itachukua Miaka 7 kukamilika 100%.Lakini Kwa kuwa Sisi ni Watu wa kukubali uongo na propaganda tukaamini. Leo tunaambiwa delays tunawaka.
Siamini kuna hujuma. Ninaamini ni mambo ya kisera na madhara ya Miaka 5 unusu ya incompetence katika uendeshaji wa Uchumi. Tulidanganywa na tukaamini uongo huo. Sasa tunatumia uongo ule kuwapima wenye Mamlaka sasa. NCHI HAINA UMEME WA KUTOSHA. Hatujaongeza Hata 1MW kwa Miaka 5
Unakatika ila sio kwa siku nzima au zaidi ya siku! Marekebisho ya muda mchache umeme unakuwa umerudi. Sababu ni za msingi kama ni transformer imebutuka replacement ya haraka watu wanaendelea na huduma.Kipindi cha magufuli umeme ulikuwa unakatika kama kawa ,thread zipo kibao humu ,sema ndiyo TANESCO wasingeweza kutangaza.
We waache waneng'eneke tu..Sio tu hakuwa na mgao pia alizima mitambo ya IPTL ya akina singa singa na rugemalila na walinyimwa leseni ya kuendesha biashara yao ya kuuzia umeme Tanesco.
Hizi blaah blaah za Waziri na wapambe ndio hujuma zile zimeshaanza ili kurejesha biashara ya IPTL ya kukusanya hela za kugawana kwenye viroba!
Acha uongo Mimi naishi Tanzania usitete ujinga haitakusaidiaFuatilia huo uzi uone watu walivyokuwa wanalalamika kuhusu umeme, tena February!!
Nyuzi nyingine....
1. Kuna mgao wa umeme wa kimya kimya December 05, 2020
2. Mgao mkali wa umeme Morogoro mjini - December 21, 2020
3. Wilaya ya Ubungo kuna mgao wa umeme? Mpaka sasa hakuna umeme March 01, 2021
4. TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini March 04, 2021
Hayo ni malalamiko yaliyotokea sehemu mbalimbali za nchi ndani ya miezi 3 TU!!!
Unakatika ila sio kwa siku nzima au zaidi ya siku! Marekebisho ya muda mchache umeme unakuwa umerudi. Sababu ni za msingi kama ni transformer imebutuka replacement ya haraka watu wanaendelea na huduma.
Nani anapambana kumtetea?Hao wanaomtupia lawama Magu ni wajinga pia, Magu ameshakufa, ni kuachana naye, tulio hai tusonge mbele, harudi tena! Na nyie mnaopambana kumtetea Marehemu as if yupo hai mnakosea pia, Mnapotaka kumgeuza Magu kuwa SI UNIT ya kutawala nchi hii mnakosea zaidi, hakuwa perfect!! Kinachoshangaza ni nyie wapambe kushupalia haya mambo, Sijawahi kumsikia Samia hata siku moja akimuongelea vibaya Magu, zaidi ya kummwagia sifa!! Siku Samia akiongea chochote kibaya kuhusu aliyekuwa bosi wake hapo mnaweza kuja juu na kutoa mapovu
Uzuri watanzania sio wajinga na wapumbavu kama bavichaBy Zitto kupitia twitter:
Mradi wa 300MW Mtwara ulisimama. Mradi wa 350MW Kilwa ulisimama. Mradi wa nyongeza Kinyerezi 185MW ulisimama. Mradi wa Kinyerezi 3 and 4 umesimama. Utapata wapi Umeme kulisha nyongeza ya shughuli za Uchumi baada kufungua Nchi?
Miradi yote ya Umeme iliyokuwa kwenye power system master plan ilisimama kupeleka hela kwenye Stigler’s gorge ambayo wataalamu wote walituambia itachukua Miaka 7 kukamilika 100%.Lakini Kwa kuwa Sisi ni Watu wa kukubali uongo na propaganda tukaamini. Leo tunaambiwa delays tunawaka.
Siamini kuna hujuma. Ninaamini ni mambo ya kisera na madhara ya Miaka 5 unusu ya incompetence katika uendeshaji wa Uchumi. Tulidanganywa na tukaamini uongo huo. Sasa tunatumia uongo ule kuwapima wenye Mamlaka sasa. NCHI HAINA UMEME WA KUTOSHA. Hatujaongeza Hata 1MW kwa Miaka 5
Kukosa kwao umeme hakuhalalishi na sisi tukose umeme huku.Tofauti, lakini yanatokea kipindi kimoja.....Why hayo matatizo yote yatokee kipindi kimoja? Kwa nini miaka yote hayajatokea kwa pamoja namna hii? Lazima kuna common cause inayounganisha hayo matatizo dunia nzima
Kama kasema hivi basi kifikra hata wewe afadhaliKupungua kwa umeme ni mipango ya Mungu - Samia
Binafsi, huwa siamini mwanasiasa yeyote na ndo maana posts zangu ni nadra sana ukute natoa reference kutoka kwa wanasiasa!!Kwa hiyo wewe unamwamini.nani akisema kuna kitu flani basi unamwamini lakini kwa tanzania huamini?
Sasa hiyo so ndo Kinyerezi II ambayo nimekuambia ndiyo alijenga JPM, bila shaka kwa sababu alikuta tayari mchakato umeshaanza!!Kuna mitambo ililetwa ya kuzalisha umeme wa gesi kama huelewi nenda kaulize tanesco na ndio maana walizima mitambo ya mafuta baada ya kukamilisha ujenzi wa hiyo mitambo na kupanua kinyelezi one na two ili kuongeza mgwt,
Kaulize huko tanesco kama hujui.
Sababu ipi ya kipumbavu? Ukisema sababu ya Climate change ya kipumbavu (Which means kutumia umeme wa maji ni upumbavu) then hoja ya Zitto ina mashikoKukosa kwao umeme hakuhalalishi na sisi tukose umeme huku.
Hao sababu zao ni tofauti kabisa tena za kisomi, hizi za hapa kwetu ni za kipumbavu.
Na ninaweza kusema kuwa ni Upumbavu wa CCM wote, kwani haiwezekani miaka 60 yote (Haijalishi nani alikuwa Rais au Serikalini) wameshindwa kutafuta chanzo kingine cha umeme zaidi ya hiki kimoja wanachokitegemea!! Ni upumbavu wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli pamoja na wasaidizi wao wote waliounda serikali zao!!!Kukosa kwao umeme hakuhalalishi na sisi tukose umeme huku.
Hao sababu zao ni tofauti kabisa tena za kisomi, hizi za hapa kwetu ni za kipumbavu.