kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Hatimaye Safari ya Yanga katika Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika CAF imefikia tamati Baada ya Kuruhusu matokeo ya suluhu katika uwanja wa nyumbani.
Pamoja na jitihada kubwa walizofanya wachezaji na hali ya Upambanaji waliyoionyesha lakini ilionekana wazi baadhi ya Wachezaji miili inakataa na hivyo vijana wa Mc Alger kufanikiwa kutibua mipango kwa uharaka huku Wachezaji wa Yanga Wakiwa wanashangaa.
Yote kwa Yote, sisi Wananchi tunawapa Big up wachezaji wetu kwa kupambana ila wakae wakijua kuna panga pangua inakuja.! Safari hii panga pangua itazingatia umri.! Ni hayo tu.