kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
- Thread starter
-
- #21
Kiendacho Kwa mganga,Ibenge pokea simu uturudishie japo nusu hasara papaa.
Walitumia Calculator mbovuKuna Wachambuzi Walidiriki Kusema ni rahisi Yanga kufuzu akiwa na points 4 kuliko Simba Yenye points 9...
Ibenge kasharipia Ada hataki shida saiviIbenge pokea simu uturudishie japo nusu hasara papaa.
Keshaisha anafosi tu mpira kwa sasa.ILa naye Hamisa Mobeto Kachangia...!
Lile gundu alilompatia Aziz Ki ni Kiboko...haliishi mapema.! Yule akaoge Maji ya Bahari.
La Sivyo dogo ndo anaisha hivyo tunampoteza tukimuona hivi hivi..