Mara nying nikinyoa ndevu kwa kutumia kiwembe au mashine( salon)...natokwa na vipele naomba ushauri wana JF
Nunua machine ya kunyolea kama ya salon.....mimi huwa natokwa sana na vipele nikitumia kiwembe chochote hata Gillette
hizo mashine ameshasema hazimsaidii kwani hamjaona post yake vizuri!...tafuta shaving machine itasaidia s...
Pole kwa kusumbuliwa na mapele,ila ukiweza unaweza tumia prodict moja hivi ni aftetshave inaitwa "gentleman pride""mapele yatakuwa historia.ol the best
Nakushauri acha kutumia wembe. tumia hair removal creams zipo supermarlets na pharmacy
hiv inauzwaje mkuu
Mara nyingi nikinyoa ndevu kwa kutumia kiwembe au mashine( salon), natokwa na vipele naomba ushauri wana JF.
Hili ni tatizo kubwa kwa wanaume wengi wenye ngozi nyeusi. Linaweza kutokana na sababu mbalimbali lakini kubwa ni sensitive skin etc. Nilikuwa na shida hiyo kwa miaka mingi sana bila kupata jibu. Nilienda Marekani, nikajiuliza Wamarekani weusi wenye tatizo Kama Hilo wanafanyaje? Nikawauliza madaktari, wakaniambia nifanye yafuayo;
1. Niache kutumia vitu vyenye ncha kali wakati wa kunyoa kama wembe na mashine za kunyolea. Badala yake, tumia shaving cream na kipande Cha mti. Magic is the best. Inapatikana Kwenye maduka mengi Dar.
2. Osha sehemu ya kunyolea na maji moto na taulo safi.
3. Baada ya masaa matatu ya kunyolea na magic, tumia after shave lotion. Pinaud is one of the best.
Huwezi kupata tatizo hili tena.
Asilimia kubwa sana ya sisi watu weusi tuna ngozi sensitive sana hivyo ukiikwangua kwa wembe ata utumie after shave gani ni ngumu kuepuka vipele(shaving bumps)binafsi nimejaribu after shave nyingi sana lakini wapi !!navyofanya sasa ni kama alivyokushauri mchangiaji hapo juu,(Mtimti)tafuta shaving machine itasaidia sana japokuwa haiwezi kunyoa zote kama wembe unyoavyo.Kunyoa kwa wembe si tatizo tatizo linakuja pale zinapoanza kuota utapata maumivu na mapele juu.Wahindi wengi wananyoa kwa wembe na bila ata after shave lakini ni wachache sana wenye upele,vile vile kuna wenye ngozi nyeusi wasiosumbuliwa na 'shaving bumps'.
Nakushauri acha kutumia wembe. tumia hair removal creams zipo supermarlets na pharmacy
Hiyo hiyo.
Mara nyingi nikinyoa ndevu kwa kutumia kiwembe au mashine( salon), natokwa na vipele naomba ushauri wana JF.
Ebana naombeni msaada juu ya hilo maana nashangaa nimenyoa ndevu juzi kati saloon flani,,daah sina kawaida ya vipere kwenye kidevu lakina nashangaa vimenitoka baadhi...je tiba yake ni ipi?..ushaur jaman