Hili ni tatizo kubwa kwa wanaume wengi wenye ngozi nyeusi. Linaweza kutokana na sababu mbalimbali lakini kubwa ni sensitive skin etc. Nilikuwa na shida hiyo kwa miaka mingi sana bila kupata jibu. Nilienda Marekani, nikajiuliza Wamarekani weusi wenye tatizo Kama Hilo wanafanyaje? Nikawauliza madaktari, wakaniambia nifanye yafuayo;
1. Niache kutumia vitu vyenye ncha kali wakati wa kunyoa kama wembe na mashine za kunyolea. Badala yake, tumia shaving cream na kipande Cha mti. Magic is the best. Inapatikana Kwenye maduka mengi Dar.
2. Osha sehemu ya kunyolea na maji moto na taulo safi.
3. Baada ya masaa matatu ya kunyolea na magic, tumia after shave lotion. Pinaud is one of the best.
Huwezi kupata tatizo hili tena.