Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

kwa baadhi ya watu hii ni kama aleji, vipele vinatokea kwasababu tunaponyoa ndevu hasa zote kuna baadhi ya nywele zinabaki ndani ya ngozi ndo zinasababisha vipele. nakushauri usiwe unanyoa ndevu zote kwamaana mashine haitaweza kugusana na ngozi na kupelekea baadhi ya nywele kubaki ndani ya ngozi
 
Pole kwa kusumbuliwa na mapele,ila ukiweza unaweza tumia prodict moja hivi ni aftetshave inaitwa "gentleman pride""mapele yatakuwa historia.ol the best

hiv inauzwaje mkuu
 
Nakushauri acha kutumia wembe. tumia hair removal creams zipo supermarlets na pharmacy
 
Nakushauri acha kutumia wembe. tumia hair removal creams zipo supermarlets na pharmacy

Sista huu ni ushauri mzuri tatizo kubwa ni wakati wa kuota ndio mapele yanapoanza,binafsi nimetumia hizi cream pia after shave za kila aina,kuna bwana hapo juu kasema ni 'aleji' nakubaliana naye maana watu wengine wana sensitive skin.
 
Mara nyingi nikinyoa ndevu kwa kutumia kiwembe au mashine( salon), natokwa na vipele naomba ushauri wana JF.

Nunua mashine yako uwe unajinyoa mwenyewe (kama utaweza)..kisha hakikisha hukwangui sana wakati wa kunyoa...pitisha juu juu na pole pole(usitumie nguvu sana). ili kuepusha michubuko ya aina yoyote..ukishanyoa osha kwa maji ya uvuguvugu baada ya hapo paka after shave...(sikushauri kutumia spirit hizi za kawaida)..
 
Hili ni tatizo kubwa kwa wanaume wengi wenye ngozi nyeusi. Linaweza kutokana na sababu mbalimbali lakini kubwa ni sensitive skin etc. Nilikuwa na shida hiyo kwa miaka mingi sana bila kupata jibu. Nilienda Marekani, nikajiuliza Wamarekani weusi wenye tatizo Kama Hilo wanafanyaje? Nikawauliza madaktari, wakaniambia nifanye yafuayo;
1. Niache kutumia vitu vyenye ncha kali wakati wa kunyoa kama wembe na mashine za kunyolea. Badala yake, tumia shaving cream na kipande Cha mti. Magic is the best. Inapatikana Kwenye maduka mengi Dar.
2. Osha sehemu ya kunyolea na maji moto na taulo safi.
3. Baada ya masaa matatu ya kunyolea na magic, tumia after shave lotion. Pinaud is one of the best.
Huwezi kupata tatizo hili tena.
 
Nunua mashine ndogo disposable za kunyoa ambazo ni double blade au triple. Kama upo Dar nenda hapo mlimani city pale Game. Unaponyoa tumia povu la sabuni. Ukimaliza osha kwa maji ya uvuguvugu.
 
Hili ni tatizo kubwa kwa wanaume wengi wenye ngozi nyeusi. Linaweza kutokana na sababu mbalimbali lakini kubwa ni sensitive skin etc. Nilikuwa na shida hiyo kwa miaka mingi sana bila kupata jibu. Nilienda Marekani, nikajiuliza Wamarekani weusi wenye tatizo Kama Hilo wanafanyaje? Nikawauliza madaktari, wakaniambia nifanye yafuayo;
1. Niache kutumia vitu vyenye ncha kali wakati wa kunyoa kama wembe na mashine za kunyolea. Badala yake, tumia shaving cream na kipande Cha mti. Magic is the best. Inapatikana Kwenye maduka mengi Dar.
2. Osha sehemu ya kunyolea na maji moto na taulo safi.
3. Baada ya masaa matatu ya kunyolea na magic, tumia after shave lotion. Pinaud is one of the best.
Huwezi kupata tatizo hili tena.

mkuu ni magic powder kama hii?

images
 
Asilimia kubwa sana ya sisi watu weusi tuna ngozi sensitive sana hivyo ukiikwangua kwa wembe ata utumie after shave gani ni ngumu kuepuka vipele(shaving bumps)binafsi nimejaribu after shave nyingi sana lakini wapi !!navyofanya sasa ni kama alivyokushauri mchangiaji hapo juu,(Mtimti)tafuta shaving machine itasaidia sana japokuwa haiwezi kunyoa zote kama wembe unyoavyo.Kunyoa kwa wembe si tatizo tatizo linakuja pale zinapoanza kuota utapata maumivu na mapele juu.Wahindi wengi wananyoa kwa wembe na bila ata after shave lakini ni wachache sana wenye upele,vile vile kuna wenye ngozi nyeusi wasiosumbuliwa na 'shaving bumps'.

niliwahi kununua cream moja kwa jina la Bump Patrol ilikuwa inazuwia kabisa vipele. Tatizo likawa kwamba sijawahi kuipata tena madukani
 
Mara nyingi nikinyoa ndevu kwa kutumia kiwembe au mashine( salon), natokwa na vipele naomba ushauri wana JF.

Mi nnayo dawa ya kuzuia vipele kwa mfano kuna mdada alikua ana tatizo la kutokwa na vipele makwapani nimempa imemsaidia sana,,nitafute 0758 513593
 
Ebana naombeni msaada juu ya hilo maana nashangaa nimenyoa ndevu juzi kati saloon flani,,daah sina kawaida ya vipere kwenye kidevu lakina nashangaa vimenitoka baadhi...je tiba yake ni ipi?..ushaur jaman
 
"Vipere" dawa yake ni bump patrol
 
Paka limao au ndimu baada ya kunyoa..unaweza kupaka na sasa hivi...vipele vitaisha.
 
Back
Top Bottom