Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,029
- 3,520
Paka limao au ndimu baada ya kunyoa..unaweza kupaka na sasa hivi...vipele vitaisha.
Paka limao au ndimu baada ya kunyoa..unaweza kupaka na sasa hivi...vipele vitaisha.
Poa nashukuru kwa ushaur jaman
hii ya limao niliambiwa kidevu kinakomaa je kuna ukweli mana nami ni muhanga ila limao naogopa afu linauma mno
Ebana naombeni msaada juu ya hilo maana nashangaa nimenyoa ndevu juzi kati saloon flani,,daah sina kawaida ya vipere kwenye kidevu lakina nashangaa vimenitoka baadhi...je tiba yake ni ipi?..ushaur jaman
Mkuu Ajaribu kutumia sabuni ya ubuyu. Pakaza kidevu kabla na baada ya kunyoa. Kiwandani ni sh. 1000 na mitaani ni kama sh. 2000.Acha uoga..dawa chungu ndo inayoponya..
Jitahidi kupaka limao usiku halafu asubuhi unaosha uso na unaweza kupaka mafuta ya kawaida kulainisha na kuondoa mpauko ulosababishwa na limao...
Kuhusu kukomaza kidevu sijui labda tumuulize docta MziziMkavu ila me najua ndo kinakua soft kwa sababu mapele yanapotea...
Dawa ya kuondokana na Vipele vya ndevu ni ndogo sana.
Endapo unatumia wembe iwe gelete au aina yoyoyote ya wembe ikiwa ni pamoja na magic shave acha mara moja.
Wembe hukwangua ndevu mpaka mwisho na hivyo kufanya ile ncha ya ndevu kuwa kali sana wakati inapoanza kuota tena. Hi hufanya ngozi kuvimba kwa sababu ule mzizi wa ndevu huichoma ngozi ili ndevu iweze kutoka na hivo kuifanya ngozi kuvimba na ndio hicho mnachokiona ni vipele. Hivyo vipele ni matokeo ya ndevu kusukuma ngozi ili iweze kujitokeza nje hivyo kuifanya ngozi kuvimba. matatizo haya huwakuta sana waafrika kwa sababu nywele za kaifrika ni ngumu na huwa na ncha kali kutokana na asili ya nywele zatu na hivo kusababisha kuichoma ngozi wa nguvu sana.
SULUHISHO
Ukitaka kuondokana na vipele hivi, unachotakiwa kufanya ni kuachana na kutumia wembe. Tumia mashine ya kunyolea ndevu kwani mashine kwa bahati nzuri huwa hauwezi kukwangua na kumaliza nywele zote kama ilivyo wembe.
Mkuu magic pouder je?
Tafuta dawa yaitwa Neomedro kutoka maduka ya madawa! Mimi imenisaidia sana hiyo kitu na sasa nanyoa ndevu bila shida yoyote
Acha uoga..dawa chungu ndo inayoponya..
Jitahidi kupaka limao usiku halafu asubuhi unaosha uso na unaweza kupaka mafuta ya kawaida kulainisha na kuondoa mpauko ulosababishwa na limao...
Kuhusu kukomaza kidevu sijui labda tumuulize docta MziziMkavu ila me najua ndo kinakua soft kwa sababu mapele yanapotea...
Siijuwi hiyo Magic Powder na wala sijaitumia .Wengine wanasema dawa ya BUMP PATROL pia nzuri na wengine wanasema tumia sabuni iitwayo TETMOSOL inapatikana pharmacy ni kujaribu tu utakayo jaribu ikikufaa ndio dawa nzuri kwako. Mimi huwa ninatumia Sabuni ya kuogea na maji ya moto kabla ya kunyowa huwa ninapaka maji ya moto kidevuni kisha ninapaka sabuni kisha nina nyowa baada ya hapo ninajiosha kwa kutumia maji ya moto na sina mapele kwenye kidevu changu.Mkuu magic pouder je?
Ni MP nikupatie dawa ndg yangu,ni nzuri mnooo na itakuacha ngozi ikiwa kama ya mtoto wa mwezi mmoja.Ebana naombeni msaada juu ya hilo maana nashangaa nimenyoa ndevu juzi kati saloon flani,,daah sina kawaida ya vipere kwenye kidevu lakina nashangaa vimenitoka baadhi...je tiba yake ni ipi?..ushaur jaman