Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Jupita umetoa ushauri sahihi moja ya jibu ji kuto kubadili ufumbuzi mala kwa mala
 
Last edited by a moderator:
Dawa ya mswaki pia inasaidia nyoa uciku alaf paka iwache mpaka asubuhi asubuhi unaonaoga haviji na kama vipo pia hupotea
 
Tumia shaving power inayoitwa Magic.....inatumiwa na saloons nyingi za Dar
 
Timia detal baada ya kunyoa na maji ya vugivugu
 
Duh nimejaribu kutumia dawa nyingi mlizotaja lakin wapi, at least pump patrol inasaidia kupunguza tatizo but sio kumaliza
 
Naomba msaada kwa doctors wa jf tatizo langu kutokwa na vipele vya ndevu mpk vimekomaa nmejaribu kutumia bump patrol , epiderm cream na dawa nyinginezo ningeomba dawa tofaut na hiz wenda ningepona msaada zaid
 
mi mwenyewe nilisumbuka sana nimetumia dawa nyingi hazijanisaidia, nilishauriwa nisiwe nakaa mda mrefu bila kunyoa ndevu, kila baada ya siku 5 naenda salon kunyoa imekuwa muujiza sahivi sisumbuliwi na upele tena
 
Nakushauri pindi unaponyoa ndevu zako shave to the direction of your hairs hii ndo suluhisho mwenyewe nilikuwa na tatizo kama lako nimetumia dawa nyingi mfano pump patrol na after shave lotion ikashindikana jaribu uttupe mrejesho
 
Ili upone acha kunyoa ndevu kwa muda mpaka uone vimepona kabisa ndiyo uzinyoe, siyo kwa kukukwangua sana kama kipara, nyoa wastani kama vile nywele zinavyo anza kuota kwa mtu aliye nyoa kipara.
 
Mkuu nilikuwa na tatizo kama lako sasa limeisha,fanya hivi:-
-Kwanza kabisa usitumie dawa yoyote kama After shave,bump patrol,bump control n the likes

-Acha ndevu zikuwe kabisa halafu ukanyoe mahali ambapo utakuwa unanyoa hapo hapo mara zote,au ukitumia shaving mashine usije kutumia hizi nyembe za mkono mkuu.
-Kisha baada ya kunyoa usipake CHOCHOTE hata Spirit kwakuwa inakomaza ngozi yenye ndevu na haiondoi tatizo zaidi ya kuzuia bacteria for some minutes na mara nyingine hawapo.
-Ukimaliza kunyoa jioshe na maji ya vuguvugu(sii yamoto) tu au na kukamulia limao kidogo NA sio kila siku bali ni baada ya kunyoa tu mfano ukiwa unaoga.

Naamini tatizo litakuwa limeishia hapo.
 
Nilikuwa na tatizo kama lako ila lilikwisha bila kutumia dawa yoyote ile zaidi ya kutopaka dawa yoyote baada ya kushave na kumweleza kinyozi tatizo langu nayeye hakati ndevu mpaka chini kabisa kwenye kiini, au ile ananiambiaga atatumia wembe namba 1 ili MAUPELE yasinitoke tena.
 
Back
Top Bottom