Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Naomba msaada kwa doctors wa jf tatizo langu kutokwa na vipele vya ndevu mpk vimekomaa nmejaribu kutumia bump patrol , epiderm cream na dawa nyinginezo ningeomba dawa tofaut na hiz wenda ningepona msaada zaid

Naomba tuwasiliane kwa namba 0655669836 nikuambie dawa kaka angu,karibu sana.
 
Iyo ni kazi yangu wiki mbili 2 zinatosha kukutibu pm nikuelekeze nilipo ina gharama zake
Uto toka vipele tena
 
norkim1991 Big One

Pamoja na mapendekezo mazuli ya waliotangulia, Nashauri umwe na mashine binafsi ya kunyolea.

Waweza ukawa unajinyoa mwenye ndevu ukiwa nyumbani au pindi uendapo saloon, Nenda na mashine yako.

Hii ni kinga ya kwanza ya kutopata vipele kwenye kidevu.
 
Last edited by a moderator:
Na mimi pia hili tatizo linanisumbua sana. Nimejaribu mbinu nyingi ila imeshindikana....

Nilikuwa na tatizo kama lako ila lilikwisha bila kutumia dawa yoyote ile zaidi ya kutopaka dawa yoyote baada ya kushave na kumweleza kinyozi tatizo langu nayeye hakati ndevu mpaka chini kabisa kwenye kiini, au ile ananiambiaga atatumia wembe namba 1 ili MAUPELE yasinitoke tena.

Nakushauri pindi unaponyoa ndevu zako shave to the direction of your hairs hii ndo suluhisho mwenyewe nilikuwa na tatizo kama lako nimetumia dawa nyingi mfano pump patrol na after shave lotion ikashindikana jaribu uttupe mrejesho

Nimefanya tafiti zangu nimegundua viwembe vinachagua ngozi na blood, kuna watu wanatumia wembe na hawatoki vipele, tatizo la huyu jamaa anatumia wembe na ndio chanzo vya mapele kwa sababu viwembe hupara sana ngozi yake na zile maoteo ya ndevu huziba sasa pale zibapotaka kuota ndio huvimba na kuwa mapele as the time huwasha sana pia wakati Mwengine huwa kama Vina usaha ukitumbua.

Dawa ya hivi vipele, ukiwa unajua wembe utakufanya hivyo acha mara moja ukiendelea ngozi yako itakomaa na kuwa nyeusiii, kama mgonjwa wa ukurutu, nimewaona wengi ngozi zao zikiwa hivyo.

Mi binafsi viwembe situmii vinazuru ngozi yangu, natumia machine, natokwa na vipele lakini just kidogo sana, mara nyingi hutokwa na mapele pale ninapo kwenda saloon, mashine zao zipo shup sana, kwa maana hio utaratibu wangu week saloon week home shaving, na wakati Mwengine naziwacha ndevu vikue ili kukwepa kupara ngozi kila siku hupelekea kupiga weusi katika ngozi, sometimes chonga ndevu different styles, ziwache zikuwe ndio mapambo ya wanaume sio kunyoa.

Nunua machine yako mwenyewe kwa ajili ya ndevu na shepap kukwepa maambukizi ya ngozi pia
 
Kama ndio vinaanza unaponyoa usikwangue mpaka chini unatakiwa uache chenga chenga na kma vimeshakuwa vipele vikubwa lazima umuone mwenye ujuzi navyo kwani vinakuwa na nywele ndani haviwezi kupona mpaka zitolewe zote ndani ya nyama na zinztolewa kiufundi kidogo kama una ujasiri npm nikufunze
 
Nikiwa Morogoro saluni fulani siwezi kuitaja jina mara nyingi huwa napendelea kwenda kunyoa nikiwa huko,kuna kinyozi wa hiyo saluni aliniambia:

Brother hii magic sio nzuri kiafya maana kuna wateja wangu watatu walikuwa wanatumia kunyoa nywele(kipara)kwa kutumia magic walifariki na karibu wote watatu vifo vyao vilifanana.Kwa mujibu wa mtoa taarifa ni kwamba waliumwa vichwa sana kabla ya umauti kuwafika.

My take:
Kwa akili ya kawaida tu bila kuwa mtaalamu wa afya,inakuwaje nywele na ugumu wake hata uifukie chini miaka haiozi lkn ije kutoka kwa kukwangua tu baada ya nusu saa?

Wazungu wanatuua,cha kushangaza kwenye kopo la magic powder pameandikwa:FOR BLACK SKIN ONLY!

Dah walitumia kwa muda gani jamaa alisema, me mwenyewe natumia, kiwembe hunitoa mapele
 
tumia dawa inaitwa magic powder, ni unga flani ambao ukichangaya na maji inakuwa kama cream unapaka kisha baada ya dakika chache ndevu zinatoka zenyewe kwa kufuta na kitambaa. saloon nyingi mjini wana hiyo huduma, vipele utavisikia kwenye bomba

Haina madhara mdau
 
Hiyo magic shave nilisikia Ina effects zake,jaribu kuuliza kwa waliowahi kutumia kabla ya kujaribu kwako.
 
Mimi nilijaribu Mara moja nikaipenda sana! Nikaenda kununu kikopo kizima maana mi huwa nasafiri Kwa Malory lakini wiki moja kabla dawa magic powder kwisha nikaanza kuona nikiitumia kidevu kinawaka moto kuja kucheki kidevu kinaelekea kuungu na kuweka vidonda nikaiacha wembe unanitoa mapele zaidi ya fenesi sasa nayumia mashine nimenunua lakini changa moto iko hapa nitasafiri na mashine kila mahali? Je nikikuta hakuna umeme nilipoenea nitaishije maana nikipitisha muda wa kunyoa ni balaa lazima ninyoe kila baada ya siku mbili au tatu zikizidi hapo nakoma sasa kuna mtu kasema anauza lotion ya aloe vera inamaliza mapele na muwasho baada ya kunyoa anadai bei yake ni elf 35 kama kuna mtu aliye wahi tumia naomba Matokeo tafadhali maana ameniambia ukitumia siku 60 kama haikusaidii unarudishiwa hela yako yote
 
Mimi nilijaribu Mara moja nikaipenda sana! Nikaenda kununu kikopo kizima maana mi huwa nasafiri Kwa Malory lakini wiki moja kabla dawa magic powder kwisha nikaanza kuona nikiitumia kidevu kinawaka moto kuja kucheki kidevu kinaelekea kuungu na kuweka vidonda nikaiacha wembe unanitoa mapele zaidi ya fenesi sasa nayumia mashine nimenunua lakini changa moto iko hapa nitasafiri na mashine kila mahali? Je nikikuta hakuna umeme nilipoenea nitaishije maana nikipitisha muda wa kunyoa ni balaa lazima ninyoe kila baada ya siku mbili au tatu zikizidi hapo nakoma sasa kuna mtu kasema anauza lotion ya aloe vera inamaliza mapele na muwasho baada ya kunyoa anadai bei yake ni elf 35 kama kuna mtu aliye wahi tumia naomba Matokeo tafadhali maana ameniambia ukitumia siku 60 kama haikusaidii unarudishiwa hela yako yote

Duuuuh!!! Kila baada ya siku mbili unanyoa ndevu kama afande kwanini?
 
Duuuuh!!! Kila baada ya siku mbili unanyoa ndevu kama afande kwanini?

MKUU ndevu zangu ni ugonjwa maana ni zaidi ya kero mapaka naamani labda niziache kama Osama labda ndiyo nitakuwa na AMANI zinakua haraka mno
 
kwani zile mashine disposable za kunyoa haxipo ,paka utumie dawa?.
zinauzwa 500-1000,au kuna ndevu
 
Vipele ni kesi nyingine,je vipi kuhusu mafuta ya ndevu?,maana mimi ngozi inayotoa ndevu inapauka sana,inakua kama inatoa mba
 
....na baada ya kushika utaratibu wa kunyoa kwa shaver kila siku tumia BUMP PATROL. Ni after shave nzuri sana kwa kuzuia razor bumps kwa wale wenye sensitive skin. Nimeitumia kwa muda mrefu na haina madhara. Ni after shave.
 
unatumia njia gan kunyoa?hakikisha unapo nyoa ndevu usizikwangue mpaka ziishe..uziache kwa mbali.kwaiyo utakua unazipunguza.vipele vitapotea...ila mwanzo utakavo anza vitakua vinatoka...nakushaur achana na sijui mafuta.poder.spilit..au aina yoyote.ya kuondoa vipele.au ndevu..badae madhara n makubwa..
 
Back
Top Bottom