Haina madhara mdau
kama kuna madhara ya muda mrefu sina uhakika, lakini kwa muda mfupi sijasikia kwani watu wengi wanatumia hivi sasa na sijasikia madhara. mimi mwenyewe ni mtumiaji wa magic tangu mwaka 1997 na toka hapo sijawahi kutumia wembe wa aina yoyote kwajili ya kunyoa ndevu.


