Dawa ya vipele vya ndevu ni kuacha kunyoa Mara kwa Mara
Nilikuwa mhanga wa hilo tatzo,nilitumia wembe wa kawaida,mashine ya saloon,nilitumia magic shave,nilitumia bumper patrol na hiyo neo medrol hazikuleta unafuu
Nilienda saloon zote za kibabe uzijuazo wewe kipindi hicho zizou akiwa juu,lakn tatzo liliendelea
Siku moja nikiwa chuoni dodoma,jamaa mmoja anamiliki saloon mshezi pale mtaan aliniambia,DAWA YA KUTIBU UPELE WA NDEVU NI KUACHA KUNYOA MARA KWA MARA NA UKINYOA BASI PUNGUZA NA USIKWANGUE KIDEVU,
TOKEA HAPO NAACHIA NDEVU NA SINA VIPELE TENA
KUHAKIKISHA HILO MADAKTARI WAPO NJIANI WATATUPA UHUSIANO ULIOPO KATI YA KUKWANGUA KIDEVU KIGUMU NA UTOKAJI VIPELE