Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

*Magic Shave* ndo kiboko ya kila kitu, tafuta io....
 
Hata mimi nina tatizo hilo na sijawahi nyolea nyembe tangu nimeanza kuota ndefu miaka kumi iliyopita ila nateswa sana na vipele hivyo naunga mkonyo hoja--------mfupa hauna ulimi
 
*Magic Shave* ndo kiboko ya kila kitu, tafuta io....
Hii ina madhara kaka niliwahi kutaka kutumia wataalamu wakanikataza wanadai hii hainyoi ina remove na mizizi kabisaaa hivyo kina uwezekano wa saratani
 
Hii ina madhara kaka niliwahi kutaka kutumia wataalamu wakanikataza wanadai hii hainyoi ina remove na mizizi kabisaaa hivyo kina uwezekano wa saratani
Wataalam? Me mbna naitumia n ndevu uwa znarud kam kawaida mkuu? By the way kam zna tatzo mbna madukan zpo n znatumika kwa wingi tu ...

Na kwa weng ndo imekua tiba mbadala kwa swala kam lako n watu wanafanikiwa pia,

anyway uenda swala la iman apo litatumika ivo ni iman yako tu, bt cdhan kam ina tatzo tho kila kitu kina two sides of the coin...
 
Dawa ya vipele vya ndevu ni kuacha kunyoa Mara kwa Mara
Nilikuwa mhanga wa hilo tatzo,nilitumia wembe wa kawaida,mashine ya saloon,nilitumia magic shave,nilitumia bumper patrol na hiyo neo medrol hazikuleta unafuu
Nilienda saloon zote za kibabe uzijuazo wewe kipindi hicho zizou akiwa juu,lakn tatzo liliendelea

Siku moja nikiwa chuoni dodoma,jamaa mmoja anamiliki saloon mshezi pale mtaan aliniambia,DAWA YA KUTIBU UPELE WA NDEVU NI KUACHA KUNYOA MARA KWA MARA NA UKINYOA BASI PUNGUZA NA USIKWANGUE KIDEVU,
TOKEA HAPO NAACHIA NDEVU NA SINA VIPELE TENA

KUHAKIKISHA HILO MADAKTARI WAPO NJIANI WATATUPA UHUSIANO ULIOPO KATI YA KUKWANGUA KIDEVU KIGUMU NA UTOKAJI VIPELE
 
Habari za majukumu wakuu,Nasumbuliwa na tatizo la vipele na baadae natokewa na mabaka meusi hii ni baada ya kunyoa ndevu haijalishi nimenyoa wapi na nimepewa huduma nzuri kiasi gani.

Naomba msaada kwa anayejua dawa au kinga ya hii kitu,mbalikiwe sana
 
Cheki bidhaa za oriflame au makampuni mengine ya bidhaa za aina hiyo huenda ukapata ufumbuzi kama mimi zilivyonisaidia kwa mtoto wangu kuna mafuta nilinunua ikamaliza matatizo yote hadi yaliyokua yanaleta shida kutibiwa hospitalini
 
Mwanao ana umri gani?? Ana ndevubtayari??
 
Mkuu fanya this...tumia magic kunyoa...baada ya kunyoa kanda na maji moto...hakikisha ndevu zikiota kidogo tu unazinyoa na zikande tena kwa maji moto...rudia hivyo ndani hata ya miezi kadhaa...then taratibu yatakuwa yanapungua....hakika utaona mabadiliko mkuu
 
Back
Top Bottom