Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana jf msaada kwa anayeelewa dawa ambayo inafaa kutumia nikishave ndevu maana natokwa na vipele nimejaribu kubadilisha saloon lakini wapi(nawasilisha kwenu kwa ushauri)
Dawa ya vipere ni maji ya moto tu baada ya kunyowa, loweka kitauro kwenye maji ya moto halafu kikamuwe na ukande sehemu ulizonyowa, lakini hakikisha maji yanakuwa ni ya moto sana ilimradi hayakubabuwi na una uwezo wa kuvumilia ule moto wake. hii ni fomular ya kutumia hata unaponyowa vuzi.
I Guarantee you 100%. Magic ilikuwa inanitowa viperesana lakini sasa hivi mambo ni tambarare kabisa, vipere kwangu ni historia.Mi naona huu wa kwako ndio ushauri wa kufuata zaidi. Haya makemikali miini mwetu bana no guarantee mkuu. Nimewahi kuona demu mmoja ana kwapa kama gunzi sababu ya madeodorants kudadadeki.
Wewe unajuwa kusoma lakini!!....Wakuu tatizo hili nilikuwa nalo zamani nikaamua kununua shaving mashine nikawa nanyoa mwenyewe tatizo likaisha ila kwa mashine sipati close shave kutumia gillete naogopa tatizo linaweza kunirudia tena, pia magic naogopa inaweza isiendane na ngozi yangu na chemical ambazo kwa njia yeyote zina matatizo yake ,ushauri please
kama wewe ni Boko halam au Al Shabaab then ndevu kwako siyo tatizo.Mimi nilikuwa na tatizo hilo, vipele vya ndevu vinakera hasa ngozi ukiwa mweupe au light brown.
Now, sikati ndevu, nina ndevu ndefu (huwa napunguza tu na mkasi ila siziondoi wala kuchonga), i love them nowdays. Naona zinanipendezea, naepuka hayo makemikali. Kwani kuwa na ndevu ni vibaya, i guess kuna wengine zinawapendezea. Sasa hivi ngozi ya ndevu ni clean na haina vipele wala makovu.
Tafuta njia utakayoepuka makemikali, maana utajikuta unatumia kemikali mpaka unazeeka.
kama wewe ni Boko halam au Al Shabaab then ndevu kwako siyo tatizo.
Kuna mama aliyejifungua ntu nzimaNJIA NZURI YA KUZUIA VIPELE NI KUNYO NDEVU KWA WEMBE NA KUCHUA KWA MAJI MOTO KAMA KUMKANDA MAMA ALIYEJIFUNGUA MTOTO ! Mimi nikiacha tu,vipele vinaota kwa mashindano !!!