Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wantafuta ugomvi mie ni kinyoziiiii???hahahahaha hujambo lakini
Natumia aftershave lkn bd inasumbua
imefanya kazinyoa tumia bump stop. Ni nzuri sana!1
imefanya kazi
Achana na dawa.Nunua Homecut original mashine ya kunyolea.Uwe unanyoa mara 2 kwa wiki mwenyewe.Baada ya mwezi mmoja mapele yote kwisha.Na iwe mtindo wako wa kunyoa.Mimi yalinisumbua sana na hii nyia ndio suluhisho la kudumu.Baada ya kunyoa usipake chochote.Tafuta hiyo mashine,kiyoo na brashi laini.Ukimaliza kunyoa viweka ktk hali ya usafi.Usitumie brashi wakati huo huo inatumika kwenye viatu.
Pole sana mkuu,hata pia nilikuwa na matatizo hayo..nakushauri ununue home cut uwe unachoa nduvu kwa mashine,from there apply spirit kidogo tu yatosha..achana na mambo ya after shave.yatakupa kansa ya ngozi bure.