Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

nyoa ndevu kwa mashine kwa uelekeo wa ndevu zako zinao kwenda
 
tafuta dawa inaitwa bump patrol kwenye maduka ya cosmetics. Inauzwa around elf 7 mpaka 8. Paka every morning Baada ya kunyoa kwa kama 3 to 4 days mpaka ndevu zinapoanza kuota tena. Inasaidia sana...
 
Habari wana JF, naliamini sana jukwaa la JF maana huku kuna watu multi professions. Tatizo langu nasumbuliwa sana na mapele yanayotokea baada ya kunyoa ndevu. Nilikuwa natumia hizi mashine za kawaida za salon nikaona kama ndo tatizo, nikaanza kutumia Magic shaving powder, pamoja na after shave moja hv ya mafuta sikumbuki jina lake niliinunua S.H Amon, tatizo likapoa kwa mda ila likajirudia, nikarudi kutumia tu mashine za salon na tatizo bado sijalimanya utatuzi wake. Hebu nisaidieni wadau ni njia gani ya kuzuia haya mapele ama ni after shave gani zinaondoa tatizo hili ama kama kuna dawa yake itakuwa vizuri sana jama, natamani sana kuwa na kidevu soft bila rashes. Msaada wenu wa kitabibu bandugu.
 
Najua dawa fulani nilipakwa saloon moja pale karibu na msikiti wa riverside dar es salaam. Ni mchanganyiko wa karafuu, mdalasini, na majani mengine.

Ni nzuri sana kwasasa ukiniona utashangaa. Ila ni kali sana
 
Mi wala ukali siuogopi mkuu maana inafikia mahali wakati vinywele vinaanza kuota kidevu kinawasha qwel qwel, hebu nielekeze hiyo salon nitaenda kama mteja kunyoa afu nashika jina la hyo dawa niitafute kiongozi
 
Pulp patrol ni nzuri ila mimi haikufua dafu, nenda pale riverside ukitokea ubungo ukishavuka daraja upande wa bar ya riverside mbele kuna msikiti unajengwa mbele kabla hujafika riverside utaona saluni inayotazama barabarani ingia nyoa kisha wambie wakupake hiyo dawa ni 2000 ila ni bora uwaombe wa kuuzie ya 5000 tu inatosha maupele kwishnei
 
Tafuta gentleman's pride after shave, hakuna kama hii sokoni ukiitumia njoo utupe feedback hapa. Au nipigie 0752720276
 
Naamini kwenye usafi kabla,wakati na baada ya kunyoa pamoja na.mashine na.mikono ya mnyoaji

Tunaponyoa tunaexpose mizizi ya ndevu kwa ile kupitisha mashine too and fro sasa bacteria ni rahisi kupenya na kuleta haya mapele

Kama ingewezekana kunyolea nyumbani ukiwa na sabuni ya antiseptic na maji moto then unapaka after shave tatizo hili laweza kuwa controlled!!!!!

Yanaboa hayo mavitu aisee yaaani hata uvae nini kama unayo muonekano ni majanga
 
Truly said bro you are verry correct, nitaufanyia kazi ushauri wenu wadau, nashukuru sana, nitawapa feedback.
 
Mzee kuna after shave inaitwa bump patrol.. hii ni komesha mkuu. Hata mimi mwanzoni vilinisumbua sana. Baada ya kuanza kutumia hii. Siku 4 viliisha kabisa.inatoka Afrika Kusini. NUNUA SASA HIVI KABLA WABONGO HAWAJAANZA KUICHAKACHUA
 
Ukinyoa ,tayarisha maji ya moto kwenye ndoo pamoja na kitaulo safi kabisa , chovya taulo ndani ya maji ya moto afu ulikamue ujifute! Paka spirit hapo komesha vidonda!
 
Mzee kuna after shave inaitwa bump patrol.. hii ni komesha mkuu. Hata mimi mwamnzoni vilinisumbua sana. Baada ya kuanza kutumia hii. Siku 4 viliisha kabisa.inatoka Afrika Kusini. NUNUA SASA HIVI KABLA WABONGO HAWAJAANZA KUICHAKACHUA
duh washaichakachua ila mzee hiyo ndo kiboko ya mapele ya kwenye ndevu
 
kaka ukipata jina la hiyo dawa huko ubungo saloon, urudi utupe feedback nasi tulio nje ya dsm tufaidike
 
Back
Top Bottom