Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutumia viwembe nyoa na mashine 🙂Habari,
Naombeni msaada wa dawa ya kutibu vipele vya kwenye ndevu, vimetokea kwa week sasa. Vinanikosesha amani.
Shukran
Najua dawa fulani nilipakwa saloon moja pale karibu na msikiti wa riverside dar es salaam. Ni mchanganyiko wa karafuu, mdalasini, na majani mengine.
Ni nzuri sana kwasasa ukiniona utashangaa. Ila ni kali sana
Naamini kwenye usafi kabla,wakati na baada ya kunyoa pamoja na.mashine na.mikono ya mnyoaji
Tunaponyoa tunaexpose mizizi ya ndevu kwa ile kupitisha mashine too and fro sasa bacteria ni rahisi kupenya na kuleta haya mapele
Kama ingewezekana kunyolea nyumbani ukiwa na sabuni ya antiseptic na maji moto then unapaka after shave tatizo hili laweza kuwa controlled!!!!!
Yanaboa hayo mavitu aisee yaaani hata uvae nini kama unayo muonekano ni majanga
duh washaichakachua ila mzee hiyo ndo kiboko ya mapele ya kwenye ndevuMzee kuna after shave inaitwa bump patrol.. hii ni komesha mkuu. Hata mimi mwamnzoni vilinisumbua sana. Baada ya kuanza kutumia hii. Siku 4 viliisha kabisa.inatoka Afrika Kusini. NUNUA SASA HIVI KABLA WABONGO HAWAJAANZA KUICHAKACHUA
kaka ukipata jina la hiyo dawa huko ubungo saloon, urudi utupe feedback nasi tulio nje ya dsm tufaidike