Daaaa!hilo la kudumaza kidevu sijui ila wataalam wa mambo ya dawa wapo humu watatusaidia.Sasa spirit si inadumaza kidevuuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaa!hilo la kudumaza kidevu sijui ila wataalam wa mambo ya dawa wapo humu watatusaidia.Sasa spirit si inadumaza kidevuuu?
Mimi pia nahangaikaHabari wakuu natumai ni wazima. Mimi nina tatizo la vipele na mabaka baada ya kunyoa ndevu,naomba anayejua dawa ya kuondoa vipele hivo na mabaka anisaidie.
Hiyo ya kuwa mashine inabeba magonjwa ya ngozi ya watu wengine nadhani ni kweli. Maana kuna kinyozi mpya nimempata sasa hvi naona ndio vipele vimezidi.Swali je unajinyoa mwenyewe kwa kutumia mashine au wembe??
Au unaenda salun kunyolewa ndevu.?
Kama unaenda salun hyo sehem ya kidevu no very sensitive yan no lain sasa km unakwanguliwa hizo ndevu anticlockwise lazma utoke vipele unatakiwa ukinyolewa ufate ndevu zinapoelea km zimeenda chini zinyolewe kwenda chini sio zinakwanguliwa chini juu Au huenda pia mashine zinabeba magonjwa ya ngozi ya watu mbali mbali...samahan kwa risala
Asante sana pia , ngoja nipitie huko.Hii tiba ya Bi Zainab ameisifu sana kwa mapele ya ndevu, itumie:
Wenye Matatizo ya Chunusi na Zaidi: Aunt Zainab's Natural Super Clay
Ugonjwa wako unaitwa folliculitis au razor's bumps au barber's itch..Naomba msaada kwani.
. .
Ohoo kwa hiyo niende kwa dr wa kawida auUgonjwa wako unaitwa folliculitis au razor's bumps au barber's itch..
Kwa kifupi ni mizizi ya nywele (hair follicle) hupata maambukizi ya bacteria baada yq kunyoa...hii huchangiwa na ngozi yako kuwa na sensitivity kubwa.
Kuna dawa za aina mbali mbali kutokana na kiwango cha tatizo
Daktari anaweza kukupa dawa ya antibiotics ya kupaka ( topical antibiotics ) na antibiotic ya kunywa kama tatizo ni kubwa pia antifungal na antiinflammatory drugs kadri anavyoona inafaa
Pole sana.
Inategemea..ningekushauri umuone daktari Wa ngozi akupe dawa na ushauri jinsi ya kuishiOhoo kwa hiyo niende kwa dr wa kawida au
Mimi nipo dodoma Dr aiseeeInategemea..ningekushauri umuone daktari Wa ngozi akupe dawa na ushauri jinsi ya kuishi
Wengi Wa madaktari Wa kawaida hawako vizuri kuhusu ngozi.
Kama uko mwanza ungenitafuta nikusaidie bure kabisa though Mimi ni daktari Wa kawaida mwenye special interest na ngozi
Ugonjwa Wa ngozi ni personal kama ilivyo kisukari(diabetes mellitus) yani hakuna wagonjwa wawili wenye tiba sawa hata kama ugonjwa in ule ule...nakushauri umtafute daktari bingwa Wa ngozi hapo Dodoma ukishindwa kabisa in pm nijue la kufanya...Mimi nipo dodoma Dr aiseee
Asante Dr.Ugonjwa Wa ngozi ni personal kama ilivyo kisukari(diabetes mellitus) yani hakuna wagonjwa wawili wenye tiba sawa hata kama ugonjwa in ule ule...nakushauri umtafute daktari bingwa Wa ngozi hapo Dodoma ukishindwa kabisa in pm nijue la kufanya...