Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Achia mzuzu wewee...unataka kidevu kifanane na cha dada ako....???

Joke....
 
Aunt Zainab nimepata leo dozi hii kwa Petty wa hapa Mwanza, ninapozungumza nimeshajivuruga usoni vululu vululu haya mapele ya ndevu yasepe na kipara kinachoninyemelea.
 
Habari zenu ndugu zangu ,

Nakuja hapa nikiomba msaada wa hili tatizo ambalo hunisumbua kila ninaponyoa ndevu zangu.. huwa natokwa na vipele vikubwa ambavyo wakati mwngne vinaiva kama chunusi. Napata shida sana kwani vingine vinatokea mpaka kwenye mustach karibia na mdomo mpaka najiona kama muathirika hvi.

Naombeni kujua kama ni tatizo la kawaida au hili ni tofauti ,

Na pia naombeni msaada wa tiba tafadhali.

Natanguliza shukrani za dhati..
 
Swali je unajinyoa mwenyewe kwa kutumia mashine au wembe??
Au unaenda salun kunyolewa ndevu.?
Kama unaenda salun hyo sehem ya kidevu no very sensitive yan no lain sasa km unakwanguliwa hizo ndevu anticlockwise lazma utoke vipele unatakiwa ukinyolewa ufate ndevu zinapoelea km zimeenda chini zinyolewe kwenda chini sio zinakwanguliwa chini juu Au huenda pia mashine zinabeba magonjwa ya ngozi ya watu mbali mbali...samahan kwa risala
 
Hiyo ya kuwa mashine inabeba magonjwa ya ngozi ya watu wengine nadhani ni kweli. Maana kuna kinyozi mpya nimempata sasa hvi naona ndio vipele vimezidi.

Asante sana kwa ushauri mzuri , nitauzingatia pia...
 
unaponyoa ndevu kwa kuchanganya vifaa nalo ni tatizo. Kama umeamua kunyoa ndevu kwa kutumia kiwembe basi endelea nacho au umeamua mashine ya saluni basi tumia hiyo tu. ni hayo tu
 
Naomba msaada kwani kila ni ki shave kwa machine... iwe kila baada ya siku 5.. then na kandwa na maji moto... scrub,, na kutumia aina tofauti za after shave lakini tatizo bado.. Napenda kuuliza tofauti na Magic . Ni remover ipi naweza tumia bila kuhusisha mashine na kuacha ngoz yangu bila vipele kwani ngozi yangu ni higher sensitive .
 
Unafanya kazi gani? Kama hufanyi kazi inayokuhusisha na ulazima wa kunyoa ndevu,nakushauri use unapunguza tu bila kugusa ngozi utaepukana na hiyo Shida bila ya kutumia gharama.
 
Naomba msaada kwani.
. .
Ugonjwa wako unaitwa folliculitis au razor's bumps au barber's itch..

Kwa kifupi ni mizizi ya nywele (hair follicle) hupata maambukizi ya bacteria baada yq kunyoa...hii huchangiwa na ngozi yako kuwa na sensitivity kubwa.

Kuna dawa za aina mbali mbali kutokana na kiwango cha tatizo

Daktari anaweza kukupa dawa ya antibiotics ya kupaka ( topical antibiotics ) na antibiotic ya kunywa kama tatizo ni kubwa pia antifungal na antiinflammatory drugs kadri anavyoona inafaa

Pole sana.
 
Ohoo kwa hiyo niende kwa dr wa kawida au
 
Inategemea..ningekushauri umuone daktari Wa ngozi akupe dawa na ushauri jinsi ya kuishi

Wengi Wa madaktari Wa kawaida hawako vizuri kuhusu ngozi.

Kama uko mwanza ungenitafuta nikusaidie bure kabisa though Mimi ni daktari Wa kawaida mwenye special interest na ngozi
Mimi nipo dodoma Dr aiseee
 
Mimi nipo dodoma Dr aiseee
Ugonjwa Wa ngozi ni personal kama ilivyo kisukari(diabetes mellitus) yani hakuna wagonjwa wawili wenye tiba sawa hata kama ugonjwa in ule ule...nakushauri umtafute daktari bingwa Wa ngozi hapo Dodoma ukishindwa kabisa in pm nijue la kufanya...
 
Asante Dr.
 
Back
Top Bottom