Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina tatizo kama la mdau.. Hio magic powder ni nini?Nilikiwa na tatizo kama lako,ilifikia hatua nakamua mpaka usaha ila tangia nimeanza kutumi amagicpoder hali imebadilika nimekuwa kama mtoto kabisa nakushauri tumia hiyo mkuu.
Kuna poder inauzwa madukani unaweka kiasi kwenye chombo unachanganya na maji alafu unajipaka,baada ya dk 10 unatoa zinatoka ndevu zoote,nzuri saana aisee
Hata nikiacha ndevu vipele vinakuwepo tuu...Unafanya kazi gani? Kama hufanyi kazi inayokuhusisha na ulazima wa kunyoa ndevu,nakushauri use unapunguza tu bila kugusa ngozi utaepukana na hiyo Shida bila ya kutumia gharama.
Hii ipoje mkuu.. ni ya kupaka tu au unafanyaje?Nilikiwa na tatizo kama lako,ilifikia hatua nakamua mpaka usaha ila tangia nimeanza kutumi amagicpoder hali imebadilika nimekuwa kama mtoto kabisa nakushauri tumia hiyo mkuu.
Heeee ni ya muda mrefu kumbe? Baba yako kaitumiaaaa.. je haina alergic reaction? Na madhara kwa ngozi?Hapana,babayangu kaanza kuitumia akiwa kijana kabisa wa miaka 19 mpaka wa leo ni kikongwe anaitumia na hana madhara yeyote
Google shaving machine ikija chagua kwenye image utaona.ziko kama koni
Zipo zenye majina mengi ila we nenda super market kubwa utazikuta
Mi nishaitumia jap
Jamani wana JF naombeni msaada wa ushauri wenu kwani kwa muda mrefu sasa ninasumbuliwa na tatizo la kutoka mapele ya ndevu mara baada ya kunyoa, nimejaribu aftershave nyingi tu lakini naona bado hazijanikubali.
Kwa sasa hivi nilikuwa natumia aftershave iitwayo Bump Patrol!
o inaendelea kunisaidia kwa kiwango kidogo sana
Jamani wana JF naombeni msaada wa ushauri wenu kwani kwa muda mrefu sasa ninasumbuliwa na tatizo la kutoka mapele ya ndevu mara baada ya kunyoa, nimejaribu aftershave nyingi tu lakini naona bado hazijanikubali.
Kwa sasa hivi nilikuwa natumia aftershave iitwayo Bump Patrol!
badoUlishapata ufumbuzi wa tatizo la mapele?