Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Nilikiwa na tatizo kama lako,ilifikia hatua nakamua mpaka usaha ila tangia nimeanza kutumi amagicpoder hali imebadilika nimekuwa kama mtoto kabisa nakushauri tumia hiyo mkuu.
 
Nilikiwa na tatizo kama lako,ilifikia hatua nakamua mpaka usaha ila tangia nimeanza kutumi amagicpoder hali imebadilika nimekuwa kama mtoto kabisa nakushauri tumia hiyo mkuu.
Nina tatizo kama la mdau.. Hio magic powder ni nini?
 
Kuna poder inauzwa madukani unaweka kiasi kwenye chombo unachanganya na maji alafu unajipaka,baada ya dk 10 unatoa zinatoka ndevu zoote,nzuri saana aisee
 
Kuna poder inauzwa madukani unaweka kiasi kwenye chombo unachanganya na maji alafu unajipaka,baada ya dk 10 unatoa zinatoka ndevu zoote,nzuri saana aisee

Mmh! Inawezekana ikawa na madhara kwa style hiyo
 
Hapana,babayangu kaanza kuitumia akiwa kijana kabisa wa miaka 19 mpaka wa leo ni kikongwe anaitumia na hana madhara yeyote
 
Unafanya kazi gani? Kama hufanyi kazi inayokuhusisha na ulazima wa kunyoa ndevu,nakushauri use unapunguza tu bila kugusa ngozi utaepukana na hiyo Shida bila ya kutumia gharama.
Hata nikiacha ndevu vipele vinakuwepo tuu...
 
Nilikiwa na tatizo kama lako,ilifikia hatua nakamua mpaka usaha ila tangia nimeanza kutumi amagicpoder hali imebadilika nimekuwa kama mtoto kabisa nakushauri tumia hiyo mkuu.
Hii ipoje mkuu.. ni ya kupaka tu au unafanyaje?
 
Hapana,babayangu kaanza kuitumia akiwa kijana kabisa wa miaka 19 mpaka wa leo ni kikongwe anaitumia na hana madhara yeyote
Heeee ni ya muda mrefu kumbe? Baba yako kaitumiaaaa.. je haina alergic reaction? Na madhara kwa ngozi?
 
Sijajua ila kila niliye mshauri akatumia hajapata matatizo,yaap niyakitambo sana asiliyake ni usa na ilitengenezwa maalum kwaajili ya waafrika kwakuwa ndevu zetu ni ngumu sana.mzee alipewa na wamarekani aliokuwa anasoma nao miaka hiyo na baadaye akawa anatuletea nasisi tulivyo kuwa mpaka wa leo zipo kwa wingi tu madukani na kwa bei chee kabisa.nenda kajipatie mkuu hutojuta
 
Hili tatizo lilinisumbua sana kwa muda mrefu hadi nikatumia after shave mbalimbali pamoja na magic powder lakini bado vipele vikaendelea kutoka, baadaye nikawa sinyoi ndevu zote yaani nikinyoa sikwangui ngozi ndio vipele vikaacha kutoka. Kwakuongezea ni kwamba after shave na magic powder kuna watu zinawasaidia na pia kuna watu haziwasaidii.
 
Endereeni kutumia chemical mwilini , mpaka mafuta ya kuondoa ndevu utatumia kisa vipele utaki , vipele mbona vyenyewe upotea tu bila hata dawa. Ukishidwa punguza ndevu, lakini unataka kukwangua ndevu kuwa kama mtoto kwa nn vipele visitoke wakati Ngozi unaichubua. Watu tunanyoa ndevu ikifka kidevuni unaziachia unazipunguza week 1 ,week ya 2 unazinyoa hizo za kidevuni vipele kwako itakuwa history na kama vitatoka vipele basi ni 1,2 au3 ni kitu cha kawaida. kumbukeni kuna cancer lainisha tu wataki umri umeenda seli za ndevu zimeaza kupotea ndo matatizo yanaazia hapo ukichunguza unaambiwa ulikuwa unatumia chemical kulainisha kidevu.
 
Nenda kanunua
Dexaquin ointment
Utakua unapaka kias tu baada ya kunyoa autowashwa wala kutokwa na vipele.
 
Mi nishaitumia jap
Jamani wana JF naombeni msaada wa ushauri wenu kwani kwa muda mrefu sasa ninasumbuliwa na tatizo la kutoka mapele ya ndevu mara baada ya kunyoa, nimejaribu aftershave nyingi tu lakini naona bado hazijanikubali.

Kwa sasa hivi nilikuwa natumia aftershave iitwayo Bump Patrol!

o inaendelea kunisaidia kwa kiwango kidogo sana
Jamani wana JF naombeni msaada wa ushauri wenu kwani kwa muda mrefu sasa ninasumbuliwa na tatizo la kutoka mapele ya ndevu mara baada ya kunyoa, nimejaribu aftershave nyingi tu lakini naona bado hazijanikubali.

Kwa sasa hivi nilikuwa natumia aftershave iitwayo Bump Patrol!

Ulishapata ufumbuzi wa tatizo la mapele?
 
Mimi nilikuwa na tatizo kama hili. Sijawahi kunyolea wembe. Nilipokuwa nanyoa kwa mashine wanapaka hizo after shave. Vipele ndo vikachachamaa. Nikaona isiwe tabu. Nikaacha kupaka chochote baada ya kunyoa. Ukimaliza kunyoa, waambie vinyozi eakusafishe vizuri na sabuni ya dawa kama protex, dettol n.k then subiri ukauke halafu paka mafuta ya kawaida ya mgando. Mpaka sasa ktk historia yangu ya kunyoa nilishasahau hizi infections!
 
Nilikuwa na tatizo kama hilo ila nilipoanza kutumia Bump control kila baada ya kunyoa ndevu likaisha.
 
Ni duka gani naweza kupata bump patrol ambayo haija chakachuliwa?
 
Back
Top Bottom