Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Nakubaliana na kunyoa mara kwa mara insaidia sana na uwe unapaka limau (lemon) baada ya kunyoa na baadae lotion yoyote
 
Habari zenu wanajamii forum
mimi niko na shida ya kutokwa na vipele baaada ya kunyoa ndevu,nimejaribu kutumia
-wembe na mashine yake
=gellete mashine
=3match ila bado unatoka
kwa home cutting za saloon zinatoa ila si kwa kiasi kikubwa.
kutokana na mazingira ninayosafiri hayana umeme wala huduma ya saloon nashindwa kutumia mashine za umeme na kutegemea izi ambazo zinanitoa ulele.
mwenye kunusaidia tiba yake please.
 
Tafuta dawa inatwa neomedro ipo vizuri sana. Ipo kweny kichupa kidogo flan ila bei 24-28 elfu.
 
Tafuta dawa inaitwa Kaola. Ukipaka kidevuni na kuisuga na maji utapata povu. Husaidia sana kunyoa. Ila hakikisha viwembe unavyotumia ni genuine na sio bandia. Viwembe bandia hata kama ni vipya hutoa mapele.
 
Back
Top Bottom