Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unapatikana wapimikumiyetu Njoo nikuuzie aftershave, kwa ajili ya kutoa vipele na kuzuia vipele, hakika hutojuta
sawa mkuuTafuta dawa inatwa neomedro ipo vizuri sana. Ipo kweny kichupa kidogo flan ila bei 24-28 elfu.
Pia wahi kunyoa mdevu angalibado hazijawa kubwa sana.. Na hakikicha chombo cha kunyolea kisiwe butu.. Kiwe freshsawa mkuu
Tafuta dawa inatwa neomedro ipo vizuri sana. Ipo kweny kichupa kidogo flan ila bei 24-28 elfu.
Ubele ndo nn mkuu
Mgagani watumikaje nduguPaka mgagani
sijawahi nyoa na wembeAcha kunyoa kwa wembe,
tumia zile mashine za kunyolea,tumia pia aftershave lotion