Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshaijaribu hiyo aloniuzia alinipa Utaratibu/Maelekezo lakini haikunisaidiaNunua kitu inaitwa bam patrol kwenye duka LA vipodozi.paka baada ya kunyoa,halafu utaniambia
Habari wana Jamii naombeni Msaada nimekuwa nikisumbuliwa sana Na vipele kwenye kidevu Mara kwa Mara vipele hivi haviishi...nimejaribu kunyoa Ndevu kwa kutumia wembe ,Magic powder hata Machine na kupakwa After shave lakini wapi haviishi ...Msaada dawa gani itanisaidia
Asante sana Ngoja niache zikue nikinyoa nifanye hivyo....Asante sanaNilijaribu kutumia dawa zaidi ya aina 45 kwa nyakati tofauti tofauti bila kupata tiba ya vipele vya ndevu.
Dawa iliyobaki ni kunyoa bila kuzimaliza zote,yaani hukwangui zote.
Kila la kheri
Nilitumia bump patrol kama chupa 20 lakini wapiAsante sana Ngoja niache zikue nikinyoa nifanye hivyo....Asante sana
Usinyoe wakati bado ndo zinaanza kuota subiria zikuekue ndo Usinyoe na baada ya kunyoa unaweza Kanda kidevu kwa maji ya moto. hata nilitumia dawa nyingi hazikunisadia.Habari wana Jamii naombeni Msaada nimekuwa nikisumbuliwa sana Na vipele kwenye kidevu Mara kwa Mara vipele hivi haviishi...nimejaribu kunyoa Ndevu kwa kutumia wembe ,Magic powder hata Machine na kupakwa After shave lakini wapi haviishi ...Msaada dawa gani itanisaidia
Kwa mda mrefu sana mm nimekuwa nikisumbuliwa sana na tatizo hilo. Lkn kupitia jumba hili la jf nilipata tiba.Habari wana Jamii naombeni Msaada nimekuwa nikisumbuliwa sana Na vipele kwenye kidevu Mara kwa Mara vipele hivi haviishi...nimejaribu kunyoa Ndevu kwa kutumia wembe ,Magic powder hata Machine na kupakwa After shave lakini wapi haviishi ...Msaada dawa gani itanisaidia
Tumia rungu max mimi imenisaidiaHabari wana Jamii naombeni Msaada nimekuwa nikisumbuliwa sana Na vipele kwenye kidevu Mara kwa Mara vipele hivi haviishi...nimejaribu kunyoa Ndevu kwa kutumia wembe ,Magic powder hata Machine na kupakwa After shave lakini wapi haviishi ...Msaada dawa gani itanisaidia
Hii sabuni inapatikana wapi mkuu?Wakuu kwa wanasumbuliwa na vipele mmewai kutumia hii sabuni ni nzuri sana aixe mi vipele vyote kwishaa![]()
hata za chini pia mkuu, krbAaaah kumbe huku kwa wenye ndevu tu
Inapatikanvwapi mkuuuuTumia pia tragoncete toka agrado . Ipo kama maji
Mkuu hiyo kitu inapatikana wapi?Tumia pia tragoncete toka agrado . Ipo kama maji