Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Nunua mashine yako kbsa ya kunyolea ndevu kuepuka kushea na mtu ili uepuke hiyo aza
 
Usipende kunyoa mara kwa mara...ndevu ziachwe angalau wiki moja...usinyoe kabla vipele havijapona...usipake spirit kwani inakomaza ngozi...USINYOE NDEVU HADI KIWE KIPARA, ACHA KIDOGO...baada ya kunyoa kanda kwa maji moto sana...tumia sabuni iitwayo citrus ya lemon kunawia mara kwa mara..

NB; usizichukie ndevu, zipende na uwe unazipunguza na sio kuzitoa zote.
 
Na nduguyangu ni mjeda kila siku asubuhi lazima anyoe muu na mapele ndio kwake
 
Tajiri wa wapi ww unashindwa kujua vitu common km hivyo?

Tumia citrolight muu
 
Tatizo la vipele huletwa na kunyoa ndevu kwa muelekeo tofauti na uotaji au utambaaji wa ndevu hali inayopelekea ncha ya ndevu kukatiwa ndani kabisa ya ngozi hivyo wakati wa kuota hukosa mwelekeo wa lile shimo la ndevu hivyo hutoboa ngozi na kusababisha upele. Hivyo solution ni kunyoa kwa kufuata muelekeo wa ndevu zilipolalia
 
Mm huwa napaka asali mbuchi ila iwe og kidevu kiko poa sijawahi kuwa na upele wa ndevu huwa naona tu kwa wengine, tumia asali
 
BUMP SOLUTION .... Hiii dawa nikiboko yaaan ,mapele ya ndefu inamalizaa.

Mapele ya mavuzi inamalizaaaaa.

Mapele ya kwapa inamalizaaaa

Mapele baada ya kuchonga inamalizaaa.

Aiseee kanunue BUMP SOLUTION kichupa km kiloshen ivi ndan yake imo km sprit ...Utaleta majibu siku mbili tu
 
BUMP SOLUTION .... Hiii dawa nikiboko yaaan ,mapele ya ndefu inamalizaa.

Mapele ya mavuzi inamalizaaaaa.

Mapele ya kwapa inamalizaaaa

Mapele baada ya kuchonga inamalizaaa.

Aiseee kanunue BUMP SOLUTION kichupa km kiloshen ivi ndan yake imo km sprit ...Utaleta majibu siku mbili tu
Inapatikana wap hiyo bump solution?
 
Back
Top Bottom