Besta Mlagila
Senior Member
- May 29, 2018
- 101
- 192
Hoja dhaifu, CHADEMA walikosa resource Mpaka wakamweka LOWASSA kugombea 2015 na kukigawa chama??? CHADEMA wamekosa resources mpaka wanachama wake kila siku wanahama chama??? Chadema wamekosa resources Mpaka sasa BAWACHA imepasuka??? Ukweli ni kwamba CHADEMA hakuna mfia chama wote wanatafuta maslahi ndio maana yasipokuwepo au yakipatikana kwengine wanasaliti chamaHuko ndiko kukosa point kabisa, nani ana itikadi Tanzania kwa sasa?? CCM sasa hivi Neither Ujamaa wala Capitalism, wanafuata kokote kule, not defined. Chadema wamekosa resources, ukikosa resources unakuwa hauko organized kabisa. CCM wana resources, wana tumia pesa za serikali vile vile. Chadema hawana huo mwanya kabisa.
Nchi yetu ni ya ujamaa na kujitegeme hivyo vyama vinatakiwa kuwa na Itikadi zisizokinzana na Katiba, Haya tuambizane Itikadi gani ya chama inahakisi Katiba ya nchi??Nimecheka kwa nguvu huu utoto ulioandika hapa. Fungua katiba ya nchi yetu uone inasema kuwa nchi yetu ni ya ujamaa na kujitegemea, pitia kwa vitendo kinachoendelea humu nchini kisha uje ulete mrejesho.
Akitokea mtu asiyejua lolote akasoma huu utoto ulioandika hapa, anaweza kuamini una point. Ukifuatilia kinachoendelea kwenye siasa zetu ni maagizo yenye hila mbaya dhidi ya vyama vya upinzani vya kweli, kupitia kiburi cha madaraka ya urais.
CCM inaujamaa wa kubebwa na dolaHuko ndiko kukosa point kabisa, nani ana itikadi Tanzania kwa sasa?? CCM sasa hivi Neither Ujamaa wala Capitalism, wanafuata kokote kule, not defined. Chadema wamekosa resources, ukikosa resources unakuwa hauko organized kabisa. CCM wana resources, wana tumia pesa za serikali vile vile. Chadema hawana huo mwanya kabisa.
Mnaongea ujinga baada ya kupora uchaguziMm naona kwa sasa upinzani upo kwa ajili ya rika mbali mbali kujifunza na kupata uzoefu wa siasa lkn c kushinda uchaguzi na kuchukua madaraka kwa sababu ata ktk Mpira France vs USA ili mechi iwe fair marefa na Washika vibendera wanatoka nchi tofauti na hao wanaokutana,na sasa wameongeza na goal technology ili mchezo uwe fair zaid. So kama Watoa maamuzi ya mchezo hawapo huru uwez kushinda kwa Haki au kufungwa kwa haki na hili upinzani wanalijua ndo maana mm nasema wanafanya mazoezi ya siasa na kuongeza vipato binafsi kwa njia mbali mbali.
Hata haujitambui, ujamaa upi na mliachana na Azimio la Arusha?Nchi yetu ni ya ujamaa na kujitegeme hivyo vyama vinatakiwa kuwa na Itikadi zisizokinzana na Katiba, Haya tuambizane Itikadi gani ya chama inahakisi Katiba ya nchi??
Naungana na wewe kwenye resources 🤜Huko ndiko kukosa point kabisa, nani ana itikadi Tanzania kwa sasa?? CCM sasa hivi Neither Ujamaa wala Capitalism, wanafuata kokote kule, not defined. Chadema wamekosa resources, ukikosa resources unakuwa hauko organized kabisa. CCM wana resources, wana tumia pesa za serikali vile vile. Chadema hawana huo mwanya kabisa.
Nchi yetu ni ya ujamaa na kujitegeme hivyo vyama vinatakiwa kuwa na Itikadi zisizokinzana na Katiba, Haya tuambizane Itikadi gani ya chama inahakisi Katiba ya nchi??
Ukweli mtupu na nina mifano ya wengiMatokeo yake makundi hayo yanapotatuliwa matatizo yao hawataona umuhimu wa kuendelea kuendesha harakati na upambanaji