Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

hongera mkuu ngangali kwa kuwa ngangali kiukweli.
 
Sasa Best! Thread ina2onyesha ulikuwa unaumwa, Na umepata matibabu umepona sasa si lazima ungerudi kuwa fit tu? Mshukuru MUNGU aliyeumba mbingu na Inchi bila ya nguzo. Hongera Best!
 
Hongera maana hili ni janga kwa dunia wengi wanatatizo hili hasa kutokana na vyakula tunavyong'ang'ania kula kila siku
 
Pole mkuu na hongera kwa kupona
 
ukweli tikitimaji sio tu kuongeza nguvu za kiume lakini linaweza kutibu magonjwa mengi sana na kuimalisha mwili, akili etc
 
Ni kweli kabisha matikiti yanasaidia sana kuongeza nguvu za kiume. Unatakiwa kwenye chakula chako at least kiwepo kipande kimoja cha Tikiti
 
Hii tiba ya vyakula inasaidia sana kuongeza nguvu zako za Kiume pamoja na kujenga afya yako ni bora sana.
Itatumika sana nchi za Asia pamoja na Afrika ya Kaskazini jinsi ya kufanya.
Unachukuwa Tende za kuiva nusu kilo unatoa kokwa zake halafu unachukuwa Maziwa ya Ng'ombe au ya Ngamia Lita moja unachanganya pamoja.
Ni vizuri kama utafanya huyo mchanganyiko wako kwa kutumia Blenda, mpaka uhakikishe mchanganyiko wako unakuwa kama uji mzito baada ya hapo kama utapenda unaweza kuweka kwenye Fridge ipate baridi kidogo au unaweza kunywa hivyo hivyo.
Kwa siku unapata glass mbili asubuhi na jioni, zaidi ya hapo ni chakula kizuri tena kitamu chenye afya.
Wadau mambo hayo
 
hayo maziwa ya ng'ombe ni yale ya dukani au yaliotoka kwa ng'ombe moja kwa moja..
 

Kule Zenji kuna kona flani wanauza juisi ya tende (ni tamu sana)..
 

Wengine tuna mapenzi na watoto; tutawazuiaje kula hicho chakula?
 
hapo naona utasaidia wengi maana hili ndilo limekuwa tatizo kubwa sana ndani ya jamii zetu hasa za kiafrika kutokana nan lishe
 
Hawa jamaa ndio wagonjwa wengi uwa wanatafuta tiba kwa siri, inawezekana baada ya kumaliza kusoma hii thread kaelekea supermarket kutafuta Tende

Ha ha ha ha...sema sio kila mtu anakubali uhalisia...asante kwa useful thread kwani utasaidia wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…