Baba Erick
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 483
- 75
<br />Kumbe LOW betri mpo wengi humu
<br />
naomba ufute kauli tafadhali siyo low betri ni nanili ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<br />Kumbe LOW betri mpo wengi humu
<br />Kumbe LOW betri mpo wengi humu
unataka uka mtesti kama yupo fiti kweli nini?unapatikana wapi nije kukupa hongera ya kupona....unastahili pongezi kwa kweli
Unachukuwa Tende za kuiva nusu kilo unatoa kokwa zake halafu unachukuwa Maziwa ya Ng'ombe au ya Ngamia Lita moja unachanganya pamoja.
Ni vizuri kama utafanya huyo mchanganyiko wako kwa kutumia Blenda, mpaka uhakikishe mchanganyiko wako unakuwa kama uji mzito baada ya hapo kama utapenda unaweza kuweka kwenye Fridge ipate baridi kidogo au unaweza kunywa hivyo hivyo.
Hii tiba ya vyakula inasaidia sana kuongeza nguvu zako za Kiume pamoja na kujenga afya yako ni bora sana.
Itatumika sana nchi za Asia pamoja na Afrika ya Kaskazini jinsi ya kufanya.
Unachukuwa Tende za kuiva nusu kilo unatoa kokwa zake halafu unachukuwa Maziwa ya Ng'ombe au ya Ngamia Lita moja unachanganya pamoja.
Ni vizuri kama utafanya huyo mchanganyiko wako kwa kutumia Blenda, mpaka uhakikishe mchanganyiko wako unakuwa kama uji mzito baada ya hapo kama utapenda unaweza kuweka kwenye Fridge ipate baridi kidogo au unaweza kunywa hivyo hivyo.
Kwa siku unapata glass mbili asubuhi na jioni, zaidi ya hapo ni chakula kizuri tena kitamu chenye afya.
Wadau mambo hayo
Mr.Toyo. Pale watu napata dozi mkuuKule Zenji kuna kona flani wanauza juisi ya tende (ni tamu sana)..
Mkuu Ndachuwa, aina tatizo kwa watoto tena ni chakula bora kabisaWengine tuna mapenzi na watoto; tutawazuiaje kula hicho chakula?
Hawa jamaa ndio wagonjwa wengi uwa wanatafuta tiba kwa siri, inawezekana baada ya kumaliza kusoma hii thread kaelekea supermarket kutafuta Tendengono tu mwawaza.
Hawa jamaa ndio wagonjwa wengi uwa wanatafuta tiba kwa siri, inawezekana baada ya kumaliza kusoma hii thread kaelekea supermarket kutafuta Tende