Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
kuku!!!!Wagonjwa utawajua tu! Maziwa ni yoyote kwani hayo ya dukani yametoka kwa nani? Dentticha bwana!
Buj, bana ha ha ha ha!kuku!!!!
Hawa jamaa ndio wagonjwa wengi uwa wanatafuta tiba kwa siri, inawezekana baada ya kumaliza kusoma hii thread kaelekea supermarket kutafuta Tende
Mkuu wangu, hakuna ugomvi wowote wala hakuna aliesema hii ni dawa, hizi ni source of nutrition naona unakwenda mbali zaidibinadamu wa kawaida mwenye akili timamu awezi kufanya upuuzi tatizo ni kujibebesha mzigo wakati uwezo una nibora goli moja au mawili kuliko kutesa mwili.ukifika umri wa miaka sitini utatumia mpira kukojoa kwani mishipa ya mteba utakuwa ausimami tena .Hacha ngono.Na tatizo limewakumba ata akina dada na mama kwa kuzoeya kukutana na shughuli za watumia dawa wanakuwa sugu na kuongezea plasti usugu unaongezeka mpaka aje kuchemka mwanaume utakoma.
Hii tiba ya vyakula inasaidia sana kuongeza nguvu zako za Kiume pamoja na kujenga afya yako ni bora sana.
Itatumika sana nchi za Asia pamoja na Afrika ya Kaskazini jinsi ya kufanya.
Unachukuwa Tende za kuiva nusu kilo unatoa kokwa zake halafu unachukuwa Maziwa ya Ng'ombe au ya Ngamia Lita moja unachanganya pamoja. Ni vizuri kama utafanya huyo mchanganyiko wako kwa kutumia Blenda, mpaka uhakikishe mchanganyiko wako unakuwa kama uji mzito baada ya hapo kama utapenda unaweza kuweka kwenye Fridge ipate baridi kidogo au unaweza kunywa hivyo hivyo.
Kwa siku unapata glass mbili asubuhi na jioni, zaidi ya hapo ni chakula kizuri tena kitamu chenye afya.
Wadau mambo hayo
Hebu nijaribu hii kitu
Hawa jamaa ndio wagonjwa wengi uwa wanatafuta tiba kwa siri, inawezekana baada ya kumaliza kusoma hii thread kaelekea supermarket kutafuta Tende
Mkuu, samhani lakini wewe ni jinsia gani? Kike/Kiume?mi nimeuliza nguvu za kiume ndiyo nini hakuna anayejitolea kunielewesha. nisaidieni wakuu
Umri wako tafadhali...mi nimeuliza nguvu za kiume ndiyo nini hakuna anayejitolea kunielewesha. nisaidieni wakuu
Ahahahahaaah!! Chatu umeua...Mkuu, samhani lakini wewe ni jinsia gani? Kike/Kiume?