Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Uzuri wa hii dawa ni chakula aina side effect, kwenye Maziwa unapata Vitamin C and other proteins.
Tende unapata Sugars, Fat, Energy, Protein, na Vitamin C pamoja na Vitamin B
 
Hawa jamaa ndio wagonjwa wengi uwa wanatafuta tiba kwa siri, inawezekana baada ya kumaliza kusoma hii thread kaelekea supermarket kutafuta Tende

binadamu wa kawaida mwenye akili timamu awezi kufanya upuuzi tatizo ni kujibebesha mzigo wakati uwezo una nibora goli moja au mawili kuliko kutesa mwili.ukifika umri wa miaka sitini utatumia mpira kukojoa kwani mishipa ya mteba utakuwa ausimami tena .Hacha ngono.

Na tatizo limewakumba ata akina dada na mama kwa kuzoeya kukutana na shughuli za watumia dawa wanakuwa sugu na kuongezea plasti usugu unaongezeka mpaka aje kuchemka mwanaume utakoma.
 
binadamu wa kawaida mwenye akili timamu awezi kufanya upuuzi tatizo ni kujibebesha mzigo wakati uwezo una nibora goli moja au mawili kuliko kutesa mwili.ukifika umri wa miaka sitini utatumia mpira kukojoa kwani mishipa ya mteba utakuwa ausimami tena .Hacha ngono.Na tatizo limewakumba ata akina dada na mama kwa kuzoeya kukutana na shughuli za watumia dawa wanakuwa sugu na kuongezea plasti usugu unaongezeka mpaka aje kuchemka mwanaume utakoma.
Mkuu wangu, hakuna ugomvi wowote wala hakuna aliesema hii ni dawa, hizi ni source of nutrition naona unakwenda mbali zaidi
 
Hii tiba ya vyakula inasaidia sana kuongeza nguvu zako za Kiume pamoja na kujenga afya yako ni bora sana.
Itatumika sana nchi za Asia pamoja na Afrika ya Kaskazini jinsi ya kufanya.

Unachukuwa Tende za kuiva nusu kilo unatoa kokwa zake halafu unachukuwa Maziwa ya Ng'ombe au ya Ngamia Lita moja unachanganya pamoja. Ni vizuri kama utafanya huyo mchanganyiko wako kwa kutumia Blenda, mpaka uhakikishe mchanganyiko wako unakuwa kama uji mzito baada ya hapo kama utapenda unaweza kuweka kwenye Fridge ipate baridi kidogo au unaweza kunywa hivyo hivyo.

Kwa siku unapata glass mbili asubuhi na jioni, zaidi ya hapo ni chakula kizuri tena kitamu chenye afya.
Wadau mambo hayo

Nguvu za kiume ndiyo nini?
 
Safii hiyo. wacha nikapate glass yangu.
 
Chatu mimi napata shida kidogo, nafikiri unatakiwa utibu kilichosababisha nguvu za kiume zipungue na si kutumia njia nyingine kuongeza kuongeza nguvu za kiume. Ok unaweza tumia kweli na nguvu zikaongezeka lakini je unayo pulling ya kutumia hizo nguvu zilizo ongezeka? Unaweza kuta mtu ana matatizo mengine ya kiafya then anatumia hiyo juice na kweli ina respond positively anaparamia mama kutest nguvu zake mwishowe anakojoa ROHO badala ya shahawa.
 
Back
Top Bottom